Ahmad Abdurahman
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 3,270
- 6,344
Aisee hizi ndoa hapana. Ningekua mm ningefutilia mbali hiyo ndoa na kutodai chochote.
Mkuu ni utafiti tuu huo Nina marafiki zangu sampuli Kama hao,hawajaolewa lakini story zao ni za usingle maza na ubinafsi wa mali....inaonekana una uzoefu nao sana
Mwanaume huna hana ya kulalamika wala kuogopa. Kwani wewe unaoa ili mwanamke aje akulishe wewe na familia?
Mliambiwa muishi nao kwa akili
Watu wengi wamepoteza uelewa na maana ya ndoa, msingi wa ndoa wa asili na imani zetu ndio kitu sahihi ila sasa asili yetu tunaikataa na imani zimevamiwa..... tunaishia kupokea Ushauri wa mahusiano kutokana na maisha na uzoefu wa wanaotoa.Hujaelewa, mpango wa Mungu kwenye ndoa sio wa huo ushauri alietoa huyo mdada cheupe..ndoa inatakiwa ijengwe kwenye misingi ya upendo, kila mmoja kuwajibika na kusaidiana, ila bahati mbaya reality haiko hivyo.
Tatizo la mahusiano mengi ya sahivi, sio wanaume wala sio wanawake, jinsia zote tuna tabia ya kujikweza sana na kujimwambafy sana, na pia kila mtu anataka awe mjanja mjanja ndo maana mahusiano mengi hayadumu.. mama D
Hapo kwenye kimbaombao umegusa kunako [emoji855][emoji855][emoji23]... ahahaaa,kipofu anajaribu kuwaelekea vipofu wenzake njia..
Wanawake wengi hawajui kwanini wanaolewa....yaani wanaingia Kwenye ndoa na mentality za kuachana na kugawana Mali.
What man think about come about...
Afu wanawake kimbaombao tena wawe weupeweupe wasio kuwa na tako wala titi wanajifanya wanazijua Mali...afu vikatiri kweli
Watu wengi wamepoteza uelewa na maana ya ndoa, msingi wa ndoa wa asili na imani zetu ndio kitu sahihi ila sasa asili yetu tunaikataa na imani zimevamiwa..... tunaishia kupokea Ushauri wa mahusiano kutokana na maisha na uzoefu wa wanaotoa.
Hata anachoshauri huyo dada ni kutokana na maumivu ya alichopitia yeye kwenye ndoa yake
Mimi naamini sisi wanawake ni ubavu tuu, wanaume mkiamua kuishi na viumbe sisi kwa akili ndoa atakua njema sana
Ndio maana ndoa nyingi za siku hz hazidumu, wanawake wanaingia ndoani na mafunzo kama haya unategemea nini?Kweli ndoa ni vita unayolala na adui wako kitanda kimoja
Huo ushauri hautekelezeki kwa mwanamke yoyte mwenye moyo wa nyama just imagine alaze watoto wake njaa kwa ajili ya kumkomoa mwanaume!
Aliwazalo mjinga ndilo litakalomtokea unaingia kwenye ndoa with full defense ya namna gani mtagawana mali tena in writings pale mtakapotengana...
yaan hapo kaugomvi kadogo tu wanawake wasivyo na vifua atarukia kuonyesha hizo docs na namna atakavyoku empty kama mkiachana
Ningekua bwana harusi ningefutilia mbali hiyo ndoa regardless maandalizi yamefikia hatua gani
Na kama naiona hii video wakati huo ndoa ilishafungwa from there onwards maisha yatabadilika pakubwa sana
kama alikua hachangii meza ntapunguza bajeti kwa 70% ili atop up hiyo inayobaki kama nlikua natoa 1M kwa mwezi kwa ajili ya chakula ntatoa 300k tu then naangalia reaction yake
ikiwa equal and opposite to my action (newton third law of motion) then maamuzi magumu lazima yafuate
Ha ha ha... ahahaaa,kipofu anajaribu kuwaelekea vipofu wenzake njia..
Wanawake wengi hawajui kwanini wanaolewa....yaani wanaingia Kwenye ndoa na mentality za kuachana na kugawana Mali.
What man think about come about...
Afu wanawake kimbaombao tena wawe weupeweupe wasio kuwa na tako wala titi wanajifanya wanazijua Mali...afu vikatiri kweli
Majibu ndio hayo mkuuHi ndo rangi halisi ya mwanamke.Mliokuwa mnauliza mbali na kula tunda la kati pale edeni kuna maelekezo mengine shetani aliyotoa, njooni mpate majibu yenu huku.
Sio wote mkuu, oa tuKwa Hali hii Bora nikavunje kamati kbsa nilikuwa na plan ya kuvuta jiko lkn kupitia hii video nimeghairi Bora niwe bachelor niinjoy my own life kuliko kuishi na adui tena kitanda kimoja
Well said mkuuHuyo binti "akili za kuambiwa achanganye na za kwake" vinginevyo akibeba kama alivyoshauriwa hapo hiyo ndoa itamshinda mapema sana. Huyo mtoa ushauri anashindwa kuelewa kuwa jinsi yeye anavyoishi na mume wake (kama ana mume kweli) sio rahisi kwa mwanamke mwingine kuishi kwa jinsi hiyo anayoishi yeye. Kila ndoa ni "UNIQUE" jamani. Kwenye ndoa kila mmoja anakuja na sauti na swaga zake halafu mnafanya "kolabo" kinatoka kitu cha kipekee ambacho asilani hakiwezi kufanana na kitu kilichofanywa na " kolabo" ya wanandoa wengine . Sasa vipi mtoa ushauri amshauri huyo binti atunze risiti na kijidaftari cha sungura kama "storekeeper" au afisa manunuzi?
Kwenye hizi ndoa kila mtu ameingia kwa sababu zake mwenyewe anazojua:- kuna waliovutiwa na mali kama yeye mtoa ushauri anavyojidhirisha, kuna waliovutiwa na pesa ambazo mtoa ushauri anazithamini sana, kuna waliovutiwa na tako ambalo mtoa usahuri hana, kuna waliovutiwa na "flat screen", kuna waliovutiwa na rangi ambayo mtoa ushauri anayo, kuna waliovutiwa na ucheshi, kuna waliovutiwa na urefu, kuna waliovutiwa na sura, kuna waliovutiwa na mapenzi/upendo wa dhati, n.k. Lakini wanaofaidi maisha yao yote na ndoa zao zinadumu muda mrefu ni wale tu waliovutiwa na mapenzi/upendo wa kweli. Kwani kukiwa na upendo wa kweli hayo mengine yote sijui mali, nyumba, magari, urefu, sura, tako, "flat screen" havina thamani sana. Na upendo wa kweli unatoka ndani kabisa mwa mtu.
Kwa hiyo kwa anayemjua huyo mtoa mada amwambie kuwa siku nyingine asitoe ushauri wa hovyo kiasi hicho kwani badala ya kujenga ndoa anaibomoa kabla hata haijaanza. Na sio mabinti wote wenye weledi wa kuchambua hili baya aliache pale pale ukumbini au hili zuri aende nalo kwa mumewe. Na binti anayeamua kubeba ushauri wote aliopewa ukumbini bila kuchambuwa na kwenda nao nyumbani akikutana na watu kama wana JF wawili/watu waliotangulia kuchangia hapo juu daa hiyo ndoa "kaputi" siku ya kwanza tu inabaki kusubiri kupelekwa mochwari muda wowote ule.
Ila simshangai sana mtoa mada bali nawashangaa hao wanawake watu wazima wanaposhangilia huo ushauri "utopolo" kabisa. Mwisho wa siku unasikia wanawake wengi wenye ndoa changa zimevunjika kumbe sababu ni hawa maajuza kutoa ushauri wa kijinga kabisa eti mabinti waweke risiti halafu wawe na kijdaftari cha sungura cha kuandika pesa wanazosaidiana na waume zao kujenga nyumba ya familia lakini wasisaidie hela ya chakula. Sasa hivi uchumi umeyumba sana tumebaki kuunganunga leo mume anaweza kuwa na kazi/pesa wakati mke hana kitu lakini kesho usishangae mke akawa na kazi/pesa wakati mume hana je kwenye hali kama hiyo kweli wanandoa wasisaidiane? Ukisikiliza kwa makini lafudhi ya mtoa ushauri utagundua katokea kabila gani na ni kwa nini katoa huo ushauri huo wa kuthamini zaidi mali kuliko upendo kwenye shida na raha kama dini zote zinavyofundisha.
Ndugu zangu tujitahidi siku zote tunapopata wasaa wa kuwashauri vijana wanaoingia kwenye taasisi hii "takatifu" ya ndoa tuwape ushauri wa kuwasaidia ndoa zao ziende kudumu zaidi na zaidi. Kwani sasa hivi kumekuwa na wimbi kubwa sana la ndoa changa kuvunjika. Msingi wa ndoa yoyote imara ni upendo wa kweli na sio kitu kingine chochote kile.
Tia neno kiongoziMmmmmmmh mambo n mengi mda mchache. Lol
Hatari sana.Ndio maana ndoa nyingi za siku hz hazidumu, wanawake wanaingia ndoani na mafunzo kama haya unategemea nini?
Mwanaume huna hana ya kulalamika wala kuogopa. Kwani wewe unaoa ili mwanamke aje akulishe wewe na familia?
Mliambiwa muishi nao kwa akili