Washauri kama hawa wadhibitiwe

Washauri kama hawa wadhibitiwe

SN.BARRY

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2012
Posts
4,051
Reaction score
9,004
Inasikitisha na kuhuzunisha pale mwanamke asiye na mume anapotoa ushauri kuhusu ndoa, video hiyo hapo

Kweli ndoa ni vita unayolala na adui wako kitanda kimoja

Huo ushauri hautekelezeki kwa mwanamke yoyte mwenye moyo wa nyama just imagine alaze watoto wake njaa kwa ajili ya kumkomoa mwanaume!

Aliwazalo mjinga ndilo litakalomtokea unaingia kwenye ndoa with full defense ya namna gani mtagawana mali tena in writings pale mtakapotengana...

yaan hapo kaugomvi kadogo tu wanawake wasivyo na vifua atarukia kuonyesha hizo docs na namna atakavyoku empty kama mkiachana

Ningekua bwana harusi ningefutilia mbali hiyo ndoa regardless maandalizi yamefikia hatua gani

Na kama naiona hii video wakati huo ndoa ilishafungwa from there onwards maisha yatabadilika pakubwa sana

kama alikua hachangii meza ntapunguza bajeti kwa 70% ili atop up hiyo inayobaki kama nlikua natoa 1M kwa mwezi kwa ajili ya chakula ntatoa 300k tu then naangalia reaction yake

ikiwa equal and opposite to my action (newton third law of motion) then maamuzi magumu lazima yafuate
 
Amina. Umeongea kweli tupu

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
... ahahaaa,kipofu anajaribu kuwaelekea vipofu wenzake njia..

Wanawake wengi hawajui kwanini wanaolewa....yaani wanaingia Kwenye ndoa na mentality za kuachana na kugawana Mali.
What man think about come about...

Afu wanawake kimbaombao tena wawe weupeweupe wasio kuwa na tako wala titi wanajifanya wanazijua Mali...afu vikatiri kweli
 
Nimesoma coments za wachangiaji imetosha kuijua video yenyewe.
Ikiwa bunye inawaharibu akili za wanaume inakuaje kwa mmiliki!??
 
Kwa Hali hii Bora nikavunje kamati kbsa nilikuwa na plan ya kuvuta jiko lkn kupitia hii video nimeghairi Bora niwe bachelor niinjoy my own life kuliko kuishi na adui tena kitanda kimoja
 
Mwanaume huna hana ya kulalamika wala kuogopa. Kwani wewe unaoa ili mwanamke aje akulishe wewe na familia?

Mliambiwa muishi nao kwa akili
 
... ahahaaa,kipofu anajaribu kuwaelekea vipofu wenzake njia..

Wanawake wengi hawajui kwanini wanaolewa....yaani wanaingia Kwenye ndoa na mentality za kuachana na kugawana Mali.
What man think about come about...

Afu wanawake kimbaombao tena wawe weupeweupe wasio kuwa na tako wala titi wanajifanya wanazijua Mali...afu vikatiri kweli
inaonekana una uzoefu nao sana
 
Back
Top Bottom