washabiki wa man u chekini faul hii

washabiki wa man u chekini faul hii

kipindupindu

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2010
Posts
1,054
Reaction score
170
310436_2575262619086_1179932934_33043754_1104945647_n.jpgipe maneno picha hii!
 
Hiyo kali,usiombe uchezewe faul kama hyo
 
myie mashabiki wa manche-sita mko wapi?au nianze kuwataja kwa majina?
 
Huo mkono umeenda wapi??? Duh yani magoli na kufanyiwa vitendo vya kizalilishaji hivi ni hatari..poleni man u
 
Ni kama anamfanyia ng'ombe Pregnancy Diagnosis...
 
Kumbe walipigwa hata magoli ya impossible angle!!!! Duuu, kwa kweli Man City ni vidume.
 
Si alimnaninhii mwenyewe!!!!!!!! wewe ungefanyaje?
 
Back
Top Bottom