Wasemao na waseme

hana hata pozi lakuwa kwenye gari! mchafu kuliko gari! au kapanda kupiga picha tu!
 
Tuache tabia za kizungu kuchukia jasho,hatuwezi jua mazingira ndani ya gari na pia ni kidogo sana sidhani kama mnamtendea haki black beauty wangu.
 
hii picha sijaelewa imefuata nini kwenye mtandao
kuna mtu kaumizwa na hivi ni visasi nini?
nahisi mwenye picha hayuko hivyo kwa sasa mtoa picha anaweza kuwa na vita hapa
 
hii picha sijaelewa imefuata nini kwenye mtandao
kuna mtu kaumizwa na hivi ni visasi nini?
nahisi mwenye picha hayuko hivyo kwa sasa mtoa picha anaweza kuwa na vita hapa

Inaelekea una fahamu zaidi ya hili bandiko...
 
hii picha sijaelewa imefuata nini kwenye mtandao
kuna mtu kaumizwa na hivi ni visasi nini?
nahisi mwenye picha hayuko hivyo kwa sasa mtoa picha anaweza kuwa na vita hapa

I think so.
 
hii mambo ya face book msilete huku bana!!
 
Hii picha ina maana gani kuletwa hapa jf. Upuuzi mtupu.
 
Nimegundua kitu humu ndani. Wa kina dada wana thread zao. Ukitaka kuwabamba we ongelea infidelity za wanaume, utapata michango mpaka ukome kurudia. Angalia kwenye hii kitu, wote wame mute utadhani redio iliyokosa umeme au betri. Kwa nje tu huyu jamaa anaonekana mchafu, wala huhitaji kuhangaika kujua kuwa kuoga kwake ni kama kwenda kituo cha polisi
 
Kwani kuna tatizo gani kwenye hii picha na kwa huyu dada? Ukifilisika kimwazo,ukiwa huna kazi ya kufanya ndio matokeo yake haya...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…