Wasemao na waseme

Babylon

JF-Expert Member
Feb 5, 2009
1,332
82
Msiharamie nywele tu ,na hizi sehemu zilizo nyepe nyepe zinataka Uangalifu na matunzo zaidi.

http://stopsweatingfast.com/

Nipe nikupe.jpg
 
Tuache tabia za kizungu kuchukia jasho,hatuwezi jua mazingira ndani ya gari na pia ni kidogo sana sidhani kama mnamtendea haki black beauty wangu.
 
hii picha sijaelewa imefuata nini kwenye mtandao
kuna mtu kaumizwa na hivi ni visasi nini?
nahisi mwenye picha hayuko hivyo kwa sasa mtoa picha anaweza kuwa na vita hapa
 
hii picha sijaelewa imefuata nini kwenye mtandao
kuna mtu kaumizwa na hivi ni visasi nini?
nahisi mwenye picha hayuko hivyo kwa sasa mtoa picha anaweza kuwa na vita hapa

Inaelekea una fahamu zaidi ya hili bandiko...
 
Nimegundua kitu humu ndani. Wa kina dada wana thread zao. Ukitaka kuwabamba we ongelea infidelity za wanaume, utapata michango mpaka ukome kurudia. Angalia kwenye hii kitu, wote wame mute utadhani redio iliyokosa umeme au betri. Kwa nje tu huyu jamaa anaonekana mchafu, wala huhitaji kuhangaika kujua kuwa kuoga kwake ni kama kwenda kituo cha polisi
 
Kwani kuna tatizo gani kwenye hii picha na kwa huyu dada? Ukifilisika kimwazo,ukiwa huna kazi ya kufanya ndio matokeo yake haya...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom