Wasemaji wa Taasisi za Serikali bado wapo?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,962
141,963
Nilikuwa naangalia makala moja mara nikamuona Badra Masoud then nikamuona Aden Mwamunyange na kisha nikamuona Pascal Mayalla, wakanikumbusha jambo moja kwamba hawa walikuwa wasemaji wa taasisi zao na bro Pascal yeye " ni kama' alikuwa msemaji wa mgombea fulami wa urais mwaka 2015. Ndipo ninajiuliza hivi vyeo vya wasemaji/ maafisa uhusiano bado vipo kama wapo mbona hawasikiki?......wamefunikwa?!!! Ni hayo tu!
 
Back
Top Bottom