Wasauzi msiwabipu alshabaab...

Wasauzi msiwabipu alshabaab...

yahoo

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
3,526
Reaction score
1,410
Hapa wamevamia duka la ustaadh bismilah
 

Attachments

  • 1429657386088.jpg
    1429657386088.jpg
    28.7 KB · Views: 1,215
Hawa Jamaa Ni Njaa Tu Zinawasumbua Na Wivu Wa Maendeleo.

Wageni Wanajituma Na Wanafanya Kazi Kwa Bidii.Kwahiyo Wanaishi Gudlife Ndani Ya Nchi Yao Wakati Wao Wanapigika Na Maisha Ya Kuunga

Kwahiyo Njaa Ndo Zinawafanya Wajenge Chuki Kua Wananyimwa Fursa.Pambaf Zao!
 
Wanaiba hadi bango kweli hawa jamaa noma sna
 
wanaakili finyu hao binadamu wanatakiwa kuchukuliwa hatua kali.... kaz wivu tuu... wanadhalilisha ngoz nyeuc
 
mpaka hili swala linafikia hapa inaelekea walianza muda kuwauwa waafrica wenzao
 
Ila maumivu aliyoyapata huyo ngugu laiti angepona angeliwachukia wasauzi kuliko chochote kibaya duniani..
 
Hivi wale wapenda maandamano hawalioni hili,.

Hebu lianzisheni namimi ntaunga mkoni hata mguu mkitaka,.hili halikubaliki
 
Bora Botha angeendelea waua tu hawa watu. Wakiachiwa wajitawale ni kama hawajielewi vile
 
Back
Top Bottom