Binti1
JF-Expert Member
- Jul 8, 2013
- 668
- 1,766
[h=5]MAJANGAA..! Kuna wanaume Nairobi ndio wanarudi home leo tangu jmosi. Eti, nao walikuwa wamechukuliwa mateka Westgate!......Wadada kama wako ndo anarudi kwa gia hiyo ungemkaribisha ndani au ungemuuliza maswali kwa undani?????? Duuh inachekesha ila kama inakutokea kweli hatariiiiiii[/h]