Wasanii?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wasanii??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Sharo hiphop, May 23, 2011.

 1. S

  Sharo hiphop JF-Expert Member

  #1
  May 23, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 662
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ni kitu gani kinasababisha mahusiano mengi ya wasanii maarufu kutofikia malengo makubwa mfano kuoana?
  Mfano mzuri ni taarifa za leo kwamba wapenzi wa siku nyingi kutoka kundi la THT Linah na Amani wameachana, hapa kuna nini?
   
 2. Mlimazunzu

  Mlimazunzu JF-Expert Member

  #2
  May 23, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 420
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ushamba,ulimbukeni na kulewa sifa
   
 3. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #3
  May 23, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  wako katika spot light ndo maana inaonekana hivyo...
  rudi katika maisha ya mtanzania wa kawaida... wengine
  kamwe hakai bila mwanaume/ke na relationship ndefu kuliko zoote ilikua miezi 6
   
 4. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #4
  May 23, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,807
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  na wao ni binadamu kama sie,they are bound to make mistakes.....wanaonekana vicheche kwa sasa kila linalowahusu liko kny spot light...ila usidhanie wanafanya lolote kutushinda sie binadamu wengine......
   
 5. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #5
  May 23, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Linah na Amini wameachana muda sasa baada ya Amini kumdunda Linah kila kukicha baada ya Linah kuwa maarufu zaidi yake.Linah alivumilia sana lakini ilifika mahala akaona kwenda kwenye shows na manundu sio issue.
   
 6. S

  Sharo hiphop JF-Expert Member

  #6
  May 23, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 662
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wivu mwingine bwana, afu wanaeleza eti kila moja kamtakia mwenzie kuwa wanatemana kwa Amani! Kweli? Hakuna mwenye uchungu kweli?
   
 7. Y

  Yakuonea JF-Expert Member

  #7
  May 23, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 601
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Unaposema wengi una maana gani,unless una statistics ya kuonyesha hao wengi unaozungumzia, lkn ukija swala la watu maarufu kuto kudumu kwenye relation zao / kutokufikia malengo nafikiri ni sababu kila mmoja anajiona labda ame achieve kitu na anafikiri hata akimkosa mwenzake maisha bado yanakwenda
   
 8. S

  Sharo hiphop JF-Expert Member

  #8
  May 23, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 662
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mifano mingine kama mitikisiko iliyokuwepo ya mapenzi kama ya Wema sepetu vs Steven Kanumba, Johari vs Ray, Ant Ezekiel vs Mr Tuez etc, ukienda nje mifano kibao kama ilivowatokea akina Bow Wow vs Ciara, J Lo vs wanaume kibao( Ben, P. Diddy etc) Rihhana vs Chris Brown nk. Umeona?
   
Loading...