Wasanii wote wa Wasafi Festival wapigwa ban Clouds

JF ya siku hizi bana,
Sasa ukisutwa utaathirika vipi? Na msutaji atafaidika vipi? By the way neno kusutana limekaa ki dada dada hivi. We sema labda tumuweke Mod mmoja shahidi ikitokea nyimbo zimepigwa ulambwe Ban

Mwanangu mbona unanifatafata unataka nikutindue malinda nini? ningekupa mti hila makonda kakataza....
 
Kuna wasanii waliopiga show kama kina nature na kuna wale waliokuwa wanapiga madongo kama kina dudu baya,hao ni watu wawili tofauti
 
CLOUDZ inaelekea kuanguka,kutopiga nyimbo za hao wasanii ni kutapatapa.
anangalia BASH ya juzi watu walikuwa wakuhesabu

FIESTA ya kesho ndio itadhibitisha ninayosema.
 
Mbona Juma Nature alipaform wasafi festival ya morogoro na kwenye hii fiesta ya Dar yupo?
 
Bila kujitambulisha hoja yako ni kama kupaka nguruwe lipstick.
hii mada ya kupaka nguruwe lips nimeiona pahala humu, nikijitambulisha nitapata usumbufu sana mzee, mimi ni msanii mkubwa wa bongofleva na mwenye jina kubwa tu. Nilivuma sana miaka ya 2004 mpk sasa bado nakimbiza.
 
Mbona Juma Nature yupo kwenye list ya watakaoperfom Fiesta Dar, na alizunguka ma Wasafi Festival
 
hii mada ya kupaka nguruwe lips nimeiona pahala humu, nikijitambulisha nitapata usumbufu sana mzee, mimi ni msanii mkubwa wa bongofleva na mwenye jina kubwa tu. Nilivuma sana miaka ya 2004 mpk sasa bado nakimbiza.
Utakuwa bysa basi
 
Habari zilizonifia hivi punde ni kwamba wasanii wote walioshiriki kwenye tamasha la Wasafi awatopigwa nyimbo zao clouds media, hiyo order imetolewa kwa waendesha vipindi vyote mjengoni.

Adhabu hiyo ina lengo la kuwa-discipline wasanii kutoshiriki matamasha tofauti na yanayoendeshwa na clouds.
Hivi Clouds ni nchi gani hiyo. Hakuna lofa wa kuomba visa ya clouds.
 
Write your reply..We nani bhana hadi useme taarifa zmekufikia mzee baba? thibitisha basi
 
Huyu jamaa ni bwege anapotosha juz nilisikia wimbo wa Dully Sykes ukipigwa au na yeye hakushiriki hiyo festival?
 
Aaaah kudadeki.....mziki wa bongo hautokuja kukua kamweeee......khaaaa.....sasa mtu anataka wasanii wote wawe wanamlamba miguu yeyeeee......esopo
 
Back
Top Bottom