Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 10,929
- 20,167
Wangekuwa na hela wasingemkimbia Nah Real baada ya kuwaambia ataanza kuwarekodia nyimbo kwa million 3..Joh makin uwezo wa kawaida anao huwez linganisha na Huyo lord eyez japo kwa tetesi inasemekan yy na mdogo wake nick wa pili hawapend kuweka Mali zao public
Ilibidi nitazame tena hii post nj ya lini?Hata muheshimiwa Jokate nasikia bado anakaa kwao
Inawezekana ni maamuzi sio kama hana uwezo wa kutoka nyumbani
Nimecheka sanaAmefanikiwa kuanza kuvaa vile vijinsi modo vilivyochanika magotini huku akiongea ki-daslam.
Anamiliki Coco Beach.Joh makin ana mafanikio gani??
Miaka ya nyuma mziki haukuwa kibiashara sana kama kipindi hiki, hivyo vijisent walivyopata walivitumbua vyote.Hawakushindwa kutengeneza pesa, pesa walitengeneza sema walishindwa kuzitumia wakaendekeza ujinga ujinga na starehe ndo wameishia pabaya.
Q-chillah na TID na skendo yao ya kurogana sijui iliishia wapi na kundi lao la nyimbo moja Top band, ila Chillah yupo vizuri, ana sauti ya kuimbia sijui alikwama wapiTop 5 ya Worst losers wa bongo fleva ni
1.Q-Chillah
2.Mr.Nice
3.Ray C
4.TID
5. Chid Benz
big No, Muondoe Juma natureWagosi wakaya
Juma nature
Mr Nice
Afande Sele
Ray C
Joslin
Z Anto
Ferooz
Jmo
N.k
Ungeanza na Kibra a.k.a Upupu Mzee wa Kama Kalambwanda.Top 5 ya Worst losers wa bongo fleva ni
1.Q-Chillah
2.Mr.Nice
3.Ray C
4.TID
5. Chid Benz
Mbona ray kigosi naye bado anaishi kwa mama yakeHuyo ni wa kike sio mbaya sana, nadhani kwa sasa yuko kwenye government quarters!
Hizo pesa za kihiivyo zilikuepo sasa enzi hizo, wasanii wengi wamenyonywa sana hela waliyopata ni ndogo kulinganisha na kazi walizofanyaMimi naweza sema zamani wengi wao walikuwa wanaimba mziki ili apate jina kitaani.. mtu anaona fahari akisikika kwenye radio na wengi wao hakuweka pesa mbele zaidi ya jina
Hii nayo ni thread ya ku discuss. Hivi mbona baadhi ya wazungu,mostly waarabu, wahindi watoto wao wa kiume wana kaa kwao paka watakapo jiweza kuondoka au watakapo amua kuondokaHata wa kiume sioni tatizo, kwa nini akakae sehemu nyingine kama kwao kupo na nyumba iko tupu