Uchaguzi 2020 Wasanii waliochukua fomu za kugombea ubunge kupitia vyama mbalimbali Uchaguzi Mkuu 2020

Pongezi sana kwa Mh. Rais Magufuli kwa ku-inspire vichwa wenzake kama Steve Nyerere kugombea. Hapa Magu, kule Musiba, huku Makonda, Ukigeuka Steve, ah majembe kila kona. Kakosekana Lemutuz tu hapo kukamilisha listi ya 'vichwa'. CCm oyee!
 
wanaona ni rahisi kuipata na kuifanya!!
Ni rahisi kupata na kipato ni kikubwa kwa kuunga mkono juhudi, kupiga meza na kupiga kura ya ndiyoooo kwa kila hoja. Aliyerahisisha kila kitu Bungeni mpaka wanachama wa CCM wanapigana vikumbo kutia nia ya kugombea ni Ndugai, mtaalamu wa kutembeza rungu dhidi ya watia nia wa Chama chake na wa upinzani ili apite kwa urahisi. Mwaka huu kuna wasiwasi atatumia hengo badala ya rungu kuwakatakata wapinzani wake.
 
¶ Wacheza picha za ngono maarufu (pornstars) mpaka sasa ni watatu wamejitokeza kuomba nafasi ya kupeperusha chama chao CCM;

1. MWIJAKU
2. Yule wa kule Kawe
3. Amber Rutty.
Tuwaombee mafanikio ili wapate kuiwakilisha fani mjengoni kwa ufanisi zaidi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom