Wasanii wabwia UNGA

Wengine kwa hayo majina hatuwajui, tubandikie picha zao, tuwaombee Mungu awaondoshee kama ni kweli.

kama uliweza kumlaani marehemu usiyejua kosa lake, utaweza kumuombea aliye hai ambaye naye humjui? mbona ni kama kioja vilee!
 
Kuhusu JD ni ya kweli, maana kuna mshkaji anaishi magomeni alitumwa akutane nae ucku na kumkabidhi, mshkaji hakuamini km ni komandoo live
 
kama uliweza kumlaani marehemu usiyejua kosa lake, utaweza kumuombea aliye hai ambaye naye humjui? mbona ni kama kioja vilee!

Muongo mkubwa wewe. Nioneshe ni wapi nilimlaani marehemu au nilisema nini kumlaani huyo marehemu> kwanini mnapenda kusema uongo na kuwazulia wenzenu mambo yasiyo kuwepo? Hiyo ya kuwazulia wenzako uongo ni laana pia.
 
Kuna huya Daza Baba, wanadai nae amekuwa mteja kabisa. Je habari hizi ziko vipi wadau?
 
wema sepetu anaanza kama masihara kuwa nyoka nae!si la kuambiwa kwa macho yangu nilikiuwa na mwanangu mmoja tulimpelekea mzigo sinza ila diamond alikuwa hajui na demu alikuwa anamficha dogo!......
 
Muongo mkubwa wewe. Nioneshe ni wapi nilimlaani marehemu au nilisema nini kumlaani huyo marehemu> kwanini mnapenda kusema uongo na kuwazulia wenzenu mambo yasiyo kuwepo? Hiyo ya kuwazulia wenzako uongo ni laana pia.

Mmh Mwanadamu weye ni MSAHAULIFU ...nakukumbusha sasa kilichokufanya UPIGWE BAN ya Miaka miwili... ukatetewa hapa...
 
Yule rapa ombaomba wa twanga kuna siku alifanya kioja cha mwaka,alivuta mpaka akajinyea kwenye suruali. Yule kaoza kabisa.
 
wema sepetu anaanza kama masihara kuwa nyoka nae!si la kuambiwa kwa macho yangu nilikiuwa na mwanangu mmoja tulimpelekea mzigo sinza ila diamond alikuwa hajui na demu alikuwa anamficha dogo!......

Naunganisha dot..........
 
wema sepetu anaanza kama masihara kuwa nyoka nae!si la kuambiwa kwa macho yangu nilikiuwa na mwanangu mmoja tulimpelekea mzigo sinza ila diamond alikuwa hajui na demu alikuwa anamficha dogo!......

unauza unga???
 
duuuuuh noumaa kwel Yan ad mbunge shy rose banj anavuta mambo juz nyumban lounge kwa jide amekaa anavuta sigara kama c yeye Yan afu wa2 wooote bac mimacho kwake.
 
unauza unga???

siku hazigandi!wakati huo wema anapelekewa mzigo,diamond hapindui!kila dakika simu analalamika!.......nikiona hizi drama leo anamletea wema kuna mambo nakumbuka sana na kuona kweli maisha duara!
 
Back
Top Bottom