Wasanii wabwia UNGA

NYAGI DRY

JF-Expert Member
Sep 10, 2011
368
155
baada ya langa kusanuka na kuamua kutemana na mambo ya madawa,ma heroin,cocaine na marijuana,leo katika pitapita yangu mitaa ya kinondon hospital nikamegewa pande kua vijana wa bongo fleva wanaongoza kwa kujidunga,eti kwa kisingizio cha kuwapa stim na kuweza kuandika mistari inayo bamba! Na hawa ni baadhi tu.NGWEA,MCHIZ MOX,TID,KABAISA AKA BLUE,DARK MASTER.LORD EYEZ,LADY JAYDEE,NURA,P.FUNKY,DAZBABA,AFANDE SELE,Na wengine kibao,mi nawashaur wamwige langa,ikiwezekana warud shule.jitazame
 
umemsahau captain john komba!
 
Hawa wabwia unga wanajilostisha sana blue alianza na bange akaona hazimp steam kaongeza dozi,20% kakutwa na kilo 20 za bange,daaaAaaaaaa Jide Mbona kitambo anastua si wanadanganya kwamba inawaondolea aibu kwa stage na inawapa manguvu ya kupiga show kwa stage
 
wakuu captain john komba nimepandishia tu siyo kweli nilifanya imagination kama ndo anakula powder na ile sauti inakuwaje!!!!!samahanini....................siyo kweli mzee wa vitoto hali ngada!
 
JD na Afande Sele ni wavuta benge :bange: hawali unga.
Mr. Blue ni gari la mizigo, anasafirisha unga kwenye mtandao wake wa bei cheee a.k.a tigo

buji naona unakaribia kugonga ikulu!blue mjanja wake dogo hamidu ndo zile ngoma za dunk n die!ubaya wa mchezo ule lazma usniff kiaina ili ukate route za haja kubwa!na huyo dogo hamidu mjanja wake Dash! (jina la ukweli mabanoni) ila nae sasa hivi tengeru tee mzigo umekata!!!!......kuachana na stimu madogo wengi wa kino waliingia katika mchezo wa kula ngada kwa fikra za kudanganyana ukistua shughuli yake kitandani aibu!hufanyi makojozi mapema!
 
Back
Top Bottom