Wasanii wabongo na majina yao halisi

Wasanii wabongo na majina yao halisi

Adili amevuta? Adili huyu huyu alieimba Peke yangu? A.k.a Hisabati?
Niggaone.jpg

Adili Kumbuka, mmoja kati ya waanzilishi wa muziki wa hip hop ya Tanzania. Adili ni ndugu na Khalid, Arafa na Mahadia Kumbuka.

Adili Kumbuka aka Nigger one alikufa kitambo kwa ajali ya gari maeneo ya Nyumba ya sanaa alikuwa akitokea kwenye mashindano ya Ku Rap yaliyokuwa yanaitwa YO RAP BONANZA, pia nigger one alikuwa ni mmoja wa waanzilishi wakundi la KWANZA UNIT pamoja na DRob(r.i.p), Ramson, Ythang.

Adili Kumbuka Sio Adili Hisabati(CHAPA KAZI MAUJANJA SAPLAYAZ).
 
  • Thanks
Reactions: Pep
View attachment 745539

Nimekupata mkuu and R.I.P to the deceased
 
mchupi pink...Nandy Mzee wa ku SLIDE ...Billnas Vidole Kinanda.... Billnass Billvidole.....Billnass Harmonize...Rajabu Kiba100...Ally Kibakuri Kaya domo ...diamond platnumz
 
Back
Top Bottom