Wasanii wa Tanzania waliofanya vizuri 2017

Usibishe mkuu Alikiba amefanya vizuri mwaka huu na kitendo cha kuwa msanii pekee kufanya show 2 za festival si ya kitoto otherwise usipokubali basi una ushabiki na diamond ndo maana unabishana na facts nlizokupa
Nakubaliana na wewe kwa asilimia zote ila tukiangalia nyuma ya shilingi Diamond ndie kafanya vizuri zaidi mkuu!!!
 
Kama unakubaliana na mimi niambie kwa hzo facts nlizokupa Aslay harmonize na Rayvanny wamemzidi kipi Alikiba mpaka hayupo kwenye list yako?
Ali kafanya vizuri kwa nafasi yake mkuu...Nimeangalia vigezo vingi!!Ray & Harmo they were nothing lakini angalia level yao kwa sasa!!!Nominations kwenye tuzo kubwa kubwa na shows pia.
 
Ali kafanya vizuri kwa nafasi yake mkuu...Nimeangalia vigezo vingi!!Ray & Harmo they were nothing lakini angalia level yao kwa sasa!!!Nominations kwenye tuzo kubwa kubwa na shows pia.
Aslay? Kapata nominations? Alikiba kazidiwa wapi na rayvany na harmonize? Nani kati Kati ya hao katoa ngoma kali kuzidi seduce me?
 
Diamond

Ali kiba

Rich mavoko

Harmonize

Nandy

Rostam

Mauwa sama

Vanesa mdee

Asley

Beka freva

Lameck dito.-moyo sukuma damu

Bright

Chege

Gigy money-Papa

Jux

Lava lava

Lulu diva

Madee

Bill nas

Niki wa pili

Rosa ree

Chin bees

Country boy

Timbulo

Weusi

J Mo
 
Aslay? Kapata nominations? Alikiba kazidiwa wapi na rayvany na harmonize? Nani kati Kati ya hao katoa ngoma kali kuzidi seduce me?
Hakuna alietoa ngoma kali kuliko seduce me kati ya hao uliowataja,Ila wewe unazingatia kigezo kimoja tu yaani Nyimbo kali...Angalia na upande wa pili ukiachana na nyimbo kali mkuu.Angalia kitu kama je fanbase ya alikiba imeongezeka au imepungua???Flow chart kati ya seduce me na maumivu per day ni ileile(ukubwa wa nyimbo),Je graph yake inapanda au inashuka nakadhalika!!!
 
Diamond

Ali kiba

Rich mavoko

Harmonize

Nandy

Rostam

Mauwa sama

Vanesa mdee

Asley

Beka freva

Lameck dito.-moyo sukuma damu

Bright

Chege

Gigy money-Papa

Jux

Lava lava

Lulu diva

Madee

Bill nas

Niki wa pili

Rosa ree

Chin bees

Country boy

Timbulo

Weusi

J Mo
Quite a great list mkuu ila Rayvanny kakosa humu naona kama list haijakamilika!!
 
Quite a great list mkuu ila Rayvanny kakosa humu naona kama list haijakamilika!!
Mkuu sijamuweka kwa sababu..
Rayvanny msimu huu haja fanya vizuri sana kama msimu uliopita..
Nyimbo zake hazija fanya vizuri sana japo kuwa ni nzuri ila hazija hit..
Kwa mwaka 2017 pale WBC walio fanya vizuri Ni Hamonize na Richmavoko wametoa nyimbo mfululizo na zote zime hit...
 
You said it all nilikua sijagundua hichi kitu....
 
Hakuna alietoa ngoma kali kuliko seduce me kati ya hao uliowataja,Ila wewe unazingatia kigezo kimoja tu yaani Nyimbo kali...Angalia na upande wa pili ukiachana na nyimbo kali mkuu.Angalia kitu kama je fanbase ya alikiba imeongezeka au imepungua???Flow chart kati ya seduce me na maumivu per day ni ileile(ukubwa wa nyimbo),Je graph yake inapanda au inashuka nakadhalika!!!
Maumivu per day haikuwa nyimbo official ndo maana haikufuatiliwa licha imefikisha viewers milioni 1
 
umewaachawapi wasanii kama hawa ?
1. Rostam
2. Roma
3.Dogo janja
4. KingKiba
5.Aslye

Acha ushabiki ndakindaki we chalii...
 
Back
Top Bottom