Wasanii Wa Tanzania Adele Awe Mfano wa Kuigwa

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Sep 6, 2014
6,170
7,662
Katik hali ambayo wengi hawakutarajia.....Adele alionekana Akiikataa tuzo Ya Album bora ya Mwaka ya Grammy ambayo alipewa na Kusema kuwa tuzo hiyo alistahili kuichukua Beyonce!

Adele amewashangaza Wengi lakini Kwa msanii Mwenye kujitambua Ni lazima ukubari

Wasanii wa Kibongo hili ni somo kwenu Kama tuzo hukustahilii sio vibayaa ukifunguka na kusema Nani alistahili
 
Kwa hiyo alimaanisha kuna figisu ndani ya Grammy au niaje maana kwa nnavyo fahamu kuna vigezo ambavyo huzingatiwa na ukiangalia kwa mwaka uliopita Adel na hello yake alihit kuliko B
 
Seuze kwa Adele ambae hata kama angekausha watu wangeona poa tu na kwamba alistahili manake ni ngumu kuona ni nani alistahili kati ya Adele na Beyonce, lakini Kibongo bongo; leo hii hata Mrisho Mpoto apewe Tuzo ya Best Performer, jamaa atakausha nayo na kui-post hata instagram ingawaje hata vitoto vidogo vitajua kwamba "mjomba hiyo tuzo hustahili!!"
 
adelle alifanya poa sana mwaka jana...25 ilikuwa album bora kuliko lemonade...
nashangaa kwa nini beyonce wanamshabikia kiivyo.....
 
Hivi mliosoma hiyo habari ya Adele tatizo ni kiingereza au nini?

Wapi imeandikwa au kuonyesha Adele akakikataa tuzo?
 
Katik hali ambayo wengi hawakutarajia.....Adele alionekana Akiikataa tuzo Ya Album bora ya Mwaka ya Grammy ambayo alipewa na Kusema kuwa tuzo hiyo alistahili kuichukua Beyonce!

Adele amewashangaza Wengi lakini Kwa msanii Mwenye kujitambua Ni lazima ukubari

Wasanii wa Kibongo hili ni somo kwenu Kama tuzo hukustahilii sio vibayaa ukifunguka na kusema Nani alistahili
Mkuu kweli kabisa i have watched the clip and like beyonce showed a genuine expression kumshukuru Adele, hata mzee mzima jigga alikua anamshangaa Adele, wenzetu wana ile ku appreciate uwezo wa mwingine hata kama amechukua tuzo kumzidi,,

Adele kafanya jambo zur sana na Beyonce atamheshimu kwa hilo na zaid adele kumwambia anaomba awe "mumy" wake hilo ndo lilitaka kumtoa machozi Beyonce. Japo nae Carlos Santana amempa kijembe beyonce kwa kumwambia hajui kuimba kwaio tuzo alistahili Adele...kwa wenzetu appreciation ama kutambua uwezo na mchango wa mwingine ni jambo la kawaida ila afrika sasa hasa uko bongo ni problem...haha
 
Katik hali ambayo wengi hawakutarajia.....Adele alionekana Akiikataa tuzo Ya Album bora ya Mwaka ya Grammy ambayo alipewa na Kusema kuwa tuzo hiyo alistahili kuichukua Beyonce!

Adele amewashangaza Wengi lakini Kwa msanii Mwenye kujitambua Ni lazima ukubari

Wasanii wa Kibongo hili ni somo kwenu Kama tuzo hukustahilii sio vibayaa ukifunguka na kusema Nani alistahili
Wabongo mbona wameanza kitambo kufanya hivyo.
Bushoke aliwahi kukataa tuzo aliyopewa ya kili music awards akasema alistahili apewe Juliana ila pia aliikataa kwakuwa wimbo walioupa tuzo ulikuwa mpya haujafikisha mwaka.
 
And by the way haijaikataa ila alisema yeye anaona alishahili beyonce kwakuwa ni mtu ambaye anamvutia na alimfanya kutamani kufanya mziki toka anaanza.
Pia habari toka tmz zinasema back stage aliigawa nusu kipande akampa beyonce.
So hakukataa tuzo ila tu alionyesha kama ku appreciate kuwa japo kapewa yeye ila yeye anamkubari zaidi beyonce
 
Wabongo mbona wameanza kitambo kufanya hivyo.
Bushoke aliwahi kukataa tuzo aliyopewa ya kili music awards akasema alistahili apewe Juliana ila pia aliikataa kwakuwa wimbo walioupa tuzo ulikuwa mpya haujafikisha mwaka.
Dah sasa ndugu bushoke kweli ...
wabongo walianza kitambo?
Embu tuzungumie in present times Alikiba alivochukua tuzo tano zile sjui je wasanii hawa wa sasa hivi wakubwa kama alikiba anaweza kukataa tuzo na kua na guts kusema hadharani tena mbele ya wageni waalikwa kwamba hastahili tuzo hizo,diamond ndo anastahili ama yoyote ambae angekua anashindana nae kwenye tuzo husika??? Je ok tokea hio mnayosema ya bushoke yupi tena aliewahi kukataaa...niambie msanii mkubwa mwingine mkubwa aliekataa tuzo mbele ya msanii mkubwa mwenzie waliepambanishwa
 
Hahaha tofauti na adele kuna mwingine? Na adele hakuikataa tuzo ujue ila tu alisema anastahili beyonce mana kwake lemonde ilikuwa album bora na beyonce anamu inspire toka anaanza mziki ila mwisho wa siku aliondoka na tuzo yake.
sasa bwana bushoke aliirudisha.
Bushoke hakuwa mtu wa sport sport enzi hizo.
 
Natumai alikiba na team yake watakua wameuona uzi huu

Mtoa mada ujue achaga kuwasema watu shauliyako
 
Hili usitarajie litokee Tanzania, kuna wakati kwenye tuzo za kill, Mpoki aliwahi kupata tuzo ya wimbo bora wa asili akimshinda Mrisho Mpoto...wimbo ambao ni kama alipita alipopita Mjomba na hauna maana yoyote zaidi ya komedi.
 
Back
Top Bottom