kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 13,709
- 25,487
Mkurugenzi wa Chocolate Princes na Muandaaji wa Matamasha ya Taarabu Ndg. Mboni Masimba Akiwa na Mfalme Muziki wa Taarabu Mzee Yusuph Wameongea na Vyombo vya Habari Hapa Ukumbi wa Serena Hoteli jijini Dar Es Salaam.
Lengo Kubwa Hasa ilikua ni Kuwajulisha Juu ya Mkesha wa Taarabu, Watu Wote na Wapenzi wa Miziki wa Taarabu Na Wapenzi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kuelekea Siku Kubwa ya Nchi ya Uzinduzi wa Kampeni Ambayo Itakuwa ni Siku Rasmi ya Uzinduzi wa Kampeni ya Mama Tarehe 27 Mwezi wa Nane Mwaka Huu, Litafanyika Tamasha la Mkesha Viwanja vya Posta Kuanzia Saa10 jioni Mpaka majogoo.
Kwa Kuthamini Mchango wa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mkeshaa Huu Ni Alama ya Kusapoti Juhudi Zao Usiku Muhimu Usiku wa Mwambao Ambapo Wasanii Wa Taarabu Maarufu Watakuwepo Kutumbuiza na Baadhi ya Wasanii Hao ni Khadija kopa, East African Melody,Mzee Yusuph, Bi Mwanahawa Ali, Ishaah Mashauzi na Wengine Wengi.