Wasanii wa Nigeria wanapendana sana

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,229
116,840
Ukiona jinzi kina Don Jazzy wanavyomheshimu D banj
na wasanii wote wa Nigeria wanavyopendana inatia raha sana

Juzi juzi Davido katoa wimbo mkali sana unaitwa 'if'

kumbe alieutengeneza ni Tekno...

Sijui why wasanii wetu watajaribu kuiga kwa wenzao...
 
sisi tuna wasanii?

hebu kuwa serious
 
Tatizo wasanii wengi wanatokea kigoma na tanga

Laiti wangetokea mikoa iliyoendelea kama arusha ,bukoba na Kilimanjaro wangependana na kuheshimiana kidogo
 
Ukiona jinzi kina Don Jazzy wanavyomheshimu D banj
na wasanii wote wa Nigeria wanavyopendana inatia raha sana

Juzi juzi Davido katoa wimbo mkali sana unaitwa 'if'

kumbe alieutengeneza ni Tekno...

Sijui why wasanii wetu watajaribu kuiga kwa wenzao...
Upo sahihi Kaka, nimefurahi sana kwa bandiko hilo. Mondi alitunga ule wimbo wa mauno wa zingufuli nimesahau jina lake na kumpa Shilole, Maura na Linah wote walichomoa.

Ali wa Leo naye kapewa mistari ya Serengeti kachomoa, kutunga ndio hawezi, chuki tu.

Nashauri wajitambue na wamuheshimu Diamond. Wamuheshimu Sugu na Professor J.
 
Natamani kusikia colabo ya Ali Kiba na Rayvanny na production ya Laizer

au Diamond na producer wa kiba..

etc etc...
 
Mashabiki wanatengeneza makundi na wasanii wanakubali kuyaingia bila kupima madhara yake.

Sijawahi kusikia team Davido wala Team Tekno huko Nigeria wote ni kitu kimoja.

South Africa AkA na Cassper Nyovest walitaka kuleta Beef za kitoto mtu mzima Oskido akawapatisha kilazima na AkA alipelekwa kwenye show ya Cassper Nyovest [HASHTAG]#FeelUpOrlandoStadium[/HASHTAG] kilazima ili akavunje beef maana yeye ndio alianza choko choko.
 
'' Beef huletwa na wivu '' propaganda by fid q. Wasanii wabongo hawapendani, tukianza na Mr nice kipindi kile anatamba na TAKEU style wasanii wamemponda eti anaimba nyimbo za kitoto, njoo kwa nature kibra kaujaza diamond jubilee zaidi ya mara mbili na kila sehemu akipiga shoo watu nyomi baadaye wasanii wenzake wakaanza kusema nature anakuwa maarufu sababu mama yake mchawi, sasa malizia kwa diamond (hamna msanii aliyezushiwa kama huyu) baada ya kung'aa sana mpaka kufikia level ya kupiga show kiingilio million watu wanaanza jamaa mchawi, mwizi wa nyimbo, hana sauti hajui Kuimba, freemason kwa bahati nzuri jamaa ana moyo wa chuma kila wakijaribu kumponda, yy ana zidi kung'aa na mwisho njoo kwa Joh Makin wasanii wenzake wanamponda eti anabebwa na media na hata hip hop anayoifanya ni laini si ile ngumu ambayo inafuata nguzo . Mziki wa bongo haukui sababu tu ya WIVU basi.
 
Back
Top Bottom