nakumbuka wakati tuko wadogo kuna wimbo tulikuwa tukiwaimbia hao mashombeshombe hasa hawa wanaokaa uswahilini: Mwarabu koko ko anakula ukoko!! ilikuwa inawakera hadi wanakimbia wakituona anga zao, na mipira yetu ya chandimu au manati yetu shingoni. kutupiga hawawezi maana tulikuwa wababe na full zana za maangamizi.