Wasanii wa bongo movie

Wasanii wa bongo movie

Contigo

Member
Joined
Nov 25, 2012
Posts
5
Reaction score
1
Sijapendezwa na tabia za wasanii wa bongo movie kabisa hasa wa kike. Nadhani watanzania wenzangu mtaungana na mimi kwa asilimia zote. Nawasihii wabadilike kwani kwa tabia zao hawatafika popote.
 
Watu tunataka kucheka halafu nyie mnatoa ushauri kama vile tupo angaza
 
Sijapendezwa na tabia za wasanii wa bongo movie kabisa hasa wa kike. Nadhani watanzania wenzangu mtaungana na mimi kwa asilimia zote. Nawasihii wabadilike kwani kwa tabia zao hawatafika popote.
Hii siyo ya utani hii, peleka jukwaa husika!
 
Back
Top Bottom