Musukuma: Wasanii wa Bongo Movie hawana kitu, wanategemea michango ya misiba

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271
Kauli iliyotolewa na Mbunge Joseph Musukuma imekosolewa na Bodi Filamu kuwa inadhalilisha bodi hiyo na wasanii.

"Tasnia ya filamu nchini ipo hoi taabani. Wasanii wa Bongo Movie hawana kitu, wanategemea michango ya misiba, kufungua madanguro na kuwa makuwadi wa wanaume." Musukuma.

IMG_20190419_174130.jpg
 
Hivi Tanzania ina mdudu gani. Kwanini mtu akiwaeleza ukweli mnamuijia juu. Kwan ni uongo? Malaya na wadangaji wakubwa ni wasanii hili halipingiki. Mambo ya kuigiza hayawaingizii pesa. Wanatehmgemea kudanga na wengine ni wauza madawa
 
Kwani ni uongo kaongea ukweli tusiishi kinafiki

Wanajiuza kweli kazi yao kuuza sura Instagram ili kupata vibosile wapya kila wakati.

Wakati wanaazima vijigari na Nguo kwenye shopping mall kwa kusema watazitangaza nguo zao wakati hata hawajui kufanya promotion.

Mtu ana followers 100000 na anajiita msanii wakati akijua hao followers hawana cha ziada kwake zaidi ya kuangalia picha zake za utupu hawana impact hata kwenye kazi zao unakuwaje na followers 100000 halafu unatoa movie uuzi hata copy elf 10000?...

Movie zenyewe hazieleweki followers wenyewe ulionao hawakwambii ukweli kwamba kazi zako hawazielewi..

Mimi kwa hili naungana na Msukuma bongo movie wanawake wanajiuza na baadhi ya wanaume ni Mashoga wanapenda kuishi maisha ya kimovie movie ambayo hawayawezi..
 
Kauli iliyotolewa na Mbunge Joseph Musukuma imekosolewa na Bodi Filamu kuwa inadhalilisha bodi hiyo na wasanii.

"Tasnia ya filamu nchini ipo hoi taabani. Wasanii wa Bongo Movie hawana kitu, wanategemea michango ya misiba, kufungua madanguro na kuwa makuwadi wa wanaume." Musukuma.

View attachment 1075789
huku kwenye udaku ndio kunakufaa kule kwenye siasa unafosi tu
 
Thamani ya kitu uonekana pale inapokutoka, ipo siku Steven Nyerere atasusa kutokana na hizi kejeli na ndio hapo wasanii watajikuta wanakaa siku kadhaa mochwari kisa hakuna mipango ya mazishi au awaondoki kwa mbwembwe kama Steven Nyerere anavyowaondoa.

Ni vigumu sana kuona thamani ya mchango wa mtu kama Steven Nyerere kwa wale wanaowaza pesa za rambirambi wakati anachowafanyia hao wasani katika safari zao za mwisho ni kikubwa kushinda mabaki anayochukua kama kuna ukweli.
 
Katika hili nakuunga mkono Msukuma, wakikubishia uwape mfano wa nanihii alivyolala pale nanihii Geita, uwaambie pia na nanihii na nanihii wanavyoletwa Geita na nanihii na nanihii walivyokuwa makuwaadi mjini na nanihii mzee anayekaa kwa mamake anavyotukwadia mjini na cheupe mawater... Uwaambie pia nanihii siku hizi dau limeshuka anatia huruma na ikiwezekana uwaambie nanihii anauzia kuleee nimesema kuleee unamtanguliza tu kwenye mwewe unajilia vyako kulee....
Wakikubishia uwaambie hata nanihii alikuwa king'asti kwa nanihii na wengi wameoa tu hawana la kufanya wanapenda umaarufu ila masikini wanajua wanalindia watu wenyewe wakihitaji wenza wao usiku hamna namna..
 
Anayebisha mwambie aandae 1m tumuite nanihii pande zile aliwe kotekote, dah nyuma kama mbele vile.. Usilolijua kama usiku wa giza..
 
Back
Top Bottom