Wasanii wa africa kusini na msiba wa mandela

MPUNGA

JF-Expert Member
Nov 10, 2010
838
559
sijui ni macho yangu au labda kupitwa na matukio ya TV. hivi kama sijaona wasanii waliohamasisha ukombozi wa afrika wa kusini na kuachiwa kwa Mandela bila masharti yeyote kupewa nafasi kwenye msiba huu au wamezeeka sana jamani akina Sarafina etc.
 
Back
Top Bottom