Taarifa zinasema walikuwa na silaha, na walitaka kuzitumia dhidi ya polisi, ndio sababu wakawaua.Wewe hujawahi kuibiwa ndiyo maana unasema hivyo ,mi hata mtu akiiba njiti ya kiberiti a deletiwe tu,ila walikosea kuwaita majambazi hao ni wezi tu wa kawaida au vibaka
Utawala wa sheria ni muhimu sana. Kama tutauana kwa tuhuma tu, kila mtu atakufa sikumoja.Taarifa zinasema walikuwa na silaha, na walitaka kuzitumia dhidi ya polisi, ndio sababu wakawaua.
Nimeshawahi kuibiwa sana! Na wizi unanikera. Lakini kuibiwa kwangu sio sababu ya kuua watu wasio na hatia kwaajili ya kuridhisha nafsi yangu kwa hasara niliyopata. Nategemea kila mtu mwenye hekima angeona hivyo.Wewe hujawahi kuibiwa ndiyo maana unasema hivyo ,mi hata mtu akiiba njiti ya kiberiti a deletiwe tu,ila walikosea kuwaita majambazi hao ni wezi tu wa kawaida au vibaka
Na wewe ni mualifu. Inabidi uuwawe. Unashabikiaje mtu mwingine kuuwawa kwa tuhuma, sio hata ushahidi wa kukutwa na kitu.Wakamatwe wakiwa hai ili wapewe tuzo na pongezi??
Muhalifu wa namna hiii anaweza na amejipanga kuua na kuzuru. So hakuna namna kama walikataa ku surrender.
Kuiba ni jambo moja na kupora kwa silaha na jambo lingine , maana anayeenda kuporwa anaweza zulika ama hata kuuliwa.....Na wewe ni mualifu. Inabidi uuwawe. Unashabikiaje mtu mwingine kuuwawa kwa tuhuma, sio hata ushahidi wa kukutwa na kitu.
Kuna adhabu za mwizi. Na kifo sio adhabu mojawapo. Watu humu ni wezi kama mngekua mnauwawa kwa wizi mnaofanya asingebakia mtu hapa.
Maofisini mnawaibia mabosi wenu . Eti mbuzi kula kwa urefu wa kamba yake. Wote inabidi muuwawe tu kumbe.
Nimeshawahi kuibiwa sana! Na wizi unanikera. Lakini kuibiwa kwangu sio sababu ya kuua watu wasio na hatia kwaajili ya kuridhisha nafsi yangu kwa hasara niliyopata. Nategemea kila mtu mwenye hekima angeona hivyo.
Hili swala mnalichukulia kwa pupa lakini ni uvunjaji mkubwa wa haki za binadamu. Kumuua mtu ambaye hakuna hata ushahidi kwamba kaiba. Hajakamatwa hata na kitu. Hana hata silaha. Eti kitu chenye ncha kali. Aibu.
Watu wamefukuzwa na pikipiki sasa kitu cha ncha kali kilihatarisha vipi usalama wa askari kiasi cha kupiga risasi ya kuua. Na nina uhakika hata hicho kitu chenye ncha kali hakikuwepo. Hizo zinaweza kuwa ni porojo za kawaida kuhalalisha hayo mauaji tu.
Wananchi kujichukulia hatua mikononi au polisi kuua kwa stail hizi ni kushindwa kwa mfumo wa kisheria na haki. Lakini tusipoangalia kama tutachekelea haya mambo kesho mwanao au wewe mwenyewa utakuja kuuwawa bila kosa utanikumbuka.
Silaha gani kakamatwa nayo? Mbona hata hakuna silaha yoyote. Nasikia kitu chenye ncha kali. Sasa hata ukiwa na peni mfukoni si kitu chenye ncha kali? Uuaji ni ushetani na sio kitu cha mtu yeyote mwenye ubinadamu kushabikia. Hasa pale anapofanyiwa mtu bila hatia.Kuiba ni jambo moja na kupora kwa silaha na jambo lingine , maana anayeenda kuporwa anaweza zulika ama hata kuuliwa.....
Hasa hapa ni mchezo wa kuwaiana.
Wamepandishwa vyeo!Kwanini walishindwa kuwakamata wakiwa hai wakati hawakuwa na silaha za moto!
Unarudia swali wakat comments kibao zmeshajibu!.Kwanini walishindwa kuwakamata wakiwa hai wakati hawakuwa na silaha za moto!
Ni Tanzania tu polisi anapambana na mwenye kisu kwa smg na kumtwanga risasi ya ubongo au chembe cha moyo, sasa polisi wetu wasifundishwe kipolisi iwe kijeshi tu.Unarudia swali wakat comments kibao zmeshajibu!.
Ingekuwa enzi za Mjerumani,shaba hazitoshi. Baada ya kuuawa ilitakiwa hizo maiti zicharazwe viboko hamsa ishirini@1.
Uhalifu hasa huu wa ujambazi asitokee mtu kabana pua lake kuteteatetea,et ooh walikuwa hawana silaha! Hizo zilizosemwa zenye ncha Kali walizokuwa wakijihami nazo, je yalikuwa ni mabox ya chokoleti? Raia wema wenye hasira zao, siyo wajinga kupakazia wizi watu bila ya kuwa na mashiko mchana kweupe. Ingekuwa ucku tungewezasema kuwa labda ni hila ya ugoni, watu kupakaziwa!
Tusipende sana kutetea uozo kwa hadhira iliyokwisha choshwa na vibaka na majambazi yarudishayo nyuma maendeleo ya watu.
Ponapona yako kwa kuwa kiherehere chako unakitolea jf. Ingekuwa ndiyo kwenye tukio lenyewe, wallah ungeunganishwa.