Wasanii na ujambazi; Bob Junior achunguzwe

Rio Tinto

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2014
Posts
777
Reaction score
452
Wadau jana zilizambaa taarifa za vifo vya wasanii wawili walio chini ya label ya Sharobaro Record UdeUde na IKU katika tukio la ujambazi huko Tanga. Wasanii hao waliuawa na polisi wakisaidiwa na raia wema katika jaribio la ujambazi wa vifaa vya magari ya serikali.

Kama mtakumbuka miaka michache iliyopita uliibuka kwa kasi sana wizi wa vifaa vya magari kama Power Windows,Radio,Side Mirrors na vifaa mbali mbali vya magari. Mwaka 2013 mimi nilikuwa muhanga wa matukio kama hayo na kutoa taarifa polisi baada ya baada ya uchunguzi wa miezi kadhaa nilikuja kugundua kijana mmoja wa kiarabu anayeitwa IKU alishiriki katika tukio hilo..

Na taarifa za chini chini ni kuwa mtandao huo ulikuwa ukimhusisha kiongozi wa MasharoBaro Tanzania Bob Junior na vijana wengi wa pale hutumika katika uhalifu huo katika mikoa mbalimbali nchini.

Kwahiyo taarifa hizi za kuuwa kwa majambazi hayo ni ishara kwa Polisi kuanza kumchunguza msanii huyo na kuna tetesi alishawahi kuhojiwa na polisi kuhusu Tuhuma hizi.

Tulipongeza jeshi la polisi kwa kazi nzuri ya kutupunguzia hawa wanaoturudisha nyuma kimaendeleo imagine umechukua gari kwa mkopo ndani ya mwezi maharamia hao wanaiba vifaa vyote na kukuingiza gharama za mamilioni.
 
Achunguzwe mara ngapi?Ameshahojiwa polisi sasa hivi ilibidi awe ndani baada ya washenzi wale kuuawa.

Nimeshangaa wasanii wanajiliza liza kinafiki leo kwenye mitandao kuondokewa na wezi hawa.

Sio vizuri kuwasemea vibaya maiti lakini kwangu nasema vibaya, wacha wafe na kama huko kuna adhabu kweli basi moto uwe wao.

Hawa sio wa kuwachekea kabisa, bora wauawe kuliko kupelekwa polisi maana kuna polisi wasio waaminifu wanashirikiana nao.

Home mwaka huu wameua mbwa watano kwa siku moja na kupora vifaa vya gari, siwezi kuwa na huruma na wezi hata siku moja.

Na ninyi wasanii mnaojiliza liza Instagram wanafiki wakubwa tu hamna lolote.
 
YULE ALIEKUWA ANATOKA NA RAY C NAE KAMA ALIZALIWA ANAIBA SETIMILA KILA SIKU ANAWACHOMOA WATU WAKIMPIGA ANATAJAJINA LAKE WAMSAMEHE SIJUI ALIFIA WAPI
 
Kama alizaliwa nayo.....
 
Akifalazima waweke Picha ya setimila Mpwa yaan hatamjini anawezakula KFC akiona kaparking anaenda anajibanza anapiga setimila
 
Vijana tamaa hiz zitatuponza.. Dogo janja nmebukua nae alharamain pale alikuwa mtu poa sasa sijui kipi kimemsibu. Piga kazi, ikiwa yako utapata, kama si yako subiri folen isogee,

Makundi haya jau sana, wachunguzwe kwa umakini watu hao.

R.i.p abdurauf, ndio hvyo tena kifo hakikosi sababu
 
Wasanii wenyew hawa wamekaa kiuvibaka tu..
 
Kwanini walishindwa kuwakamata wakiwa hai wakati hawakuwa na silaha za moto!
Sahvi ukingia mikononi mwa raia lazima wakufanye kitoweo,raia hasira zimezidi ugumu wa maisha+hela ngumu,alafu inakuja kumuibia kiulainni lazima wakuue
 
Wadau jana zilizambaa taarifa za vifo vya wasanii wawili walio chini ya label ya Sharobaro Record UdeUde na IKU katika tukio la ujambazi huko Tanga. Wasanii hao waliuawa na polisi wakisaidiwa na raia wema katika jaribio la ujambazi wa vifaa vya magari ya serikali.

Kama mtakumbuka miaka michache iliyopita uliibuka kwa kasi sana wizi wa vifaa vya magari kama Power Windows,Radio,Side Mirrors na vifaa mbali mbali vya magari. Mwaka 2013 mimi nilikuwa muhanga wa matukio kama hayo na kutoa taarifa polisi baada ya baada ya uchunguzi wa miezi kadhaa nilikuja kugundua kijana mmoja wa kiarabu anayeitwa IKU alishiriki katika tukio hilo..

Na taarifa za chini chini ni kuwa mtandao huo ulikuwa ukimhusisha kiongozi wa MasharoBaro Tanzania Bob Junior na vijana wengi wa pale hutumika katika uhalifu huo katika mikoa mbalimbali nchini.

Kwahiyo taarifa hizi za kuuwa kwa majambazi hayo ni ishara kwa Polisi kuanza kumchunguza msanii huyo na kuna tetesi alishawahi kuhojiwa na polisi kuhusu Tuhuma hizi.

Tulipongeza jeshi la polisi kwa kazi nzuri ya kutupunguzia hawa wanaoturudisha nyuma kimaendeleo imagine umechukua gari kwa mkopo ndani ya mwezi maharamia hao wanaiba vifaa vyote na kukuingiza gharama za mamilioni.
Wezi ni wabaya. Lakini hii tabia ya kuua watu wanaosadikiwa ni wezi ni mbaya sana. Hivi ukikosea ukamuua mtu kwa makosa unarejesha vipi uhai wake?
Tanzania tunapotea, kama kuna kufeli kwa mahakama na mfumo wa sheria yashughulikiwe lakini sio kila mtu kuachiwa awe hakimu , tutauana wote kwa fitna tu.
 
Kwanini walishindwa kuwakamata wakiwa hai wakati hawakuwa na silaha za moto!
Wakamatwe wakiwa hai ili wapewe tuzo na pongezi??

Muhalifu wa namna hiii anaweza na amejipanga kuua na kuzuru. So hakuna namna kama walikataa ku surrender.
 
Wadau jana zilizambaa taarifa za vifo vya wasanii wawili walio chini ya label ya Sharobaro Record UdeUde na IKU katika tukio la ujambazi huko Tanga. Wasanii hao waliuawa na polisi wakisaidiwa na raia wema katika jaribio la ujambazi wa vifaa vya magari ya serikali.

Kama mtakumbuka miaka michache iliyopita uliibuka kwa kasi sana wizi wa vifaa vya magari kama Power Windows,Radio,Side Mirrors na vifaa mbali mbali vya magari. Mwaka 2013 mimi nilikuwa muhanga wa matukio kama hayo na kutoa taarifa polisi baada ya baada ya uchunguzi wa miezi kadhaa nilikuja kugundua kijana mmoja wa kiarabu anayeitwa IKU alishiriki katika tukio hilo..

Na taarifa za chini chini ni kuwa mtandao huo ulikuwa ukimhusisha kiongozi wa MasharoBaro Tanzania Bob Junior na vijana wengi wa pale hutumika katika uhalifu huo katika mikoa mbalimbali nchini.

Kwahiyo taarifa hizi za kuuwa kwa majambazi hayo ni ishara kwa Polisi kuanza kumchunguza msanii huyo na kuna tetesi alishawahi kuhojiwa na polisi kuhusu Tuhuma hizi.

Tulipongeza jeshi la polisi kwa kazi nzuri ya kutupunguzia hawa wanaoturudisha nyuma kimaendeleo imagine umechukua gari kwa mkopo ndani ya mwezi maharamia hao wanaiba vifaa vyote na kukuingiza gharama za mamilioni.
Hoja yko haina mashiko km ndo ivyo basi weusi nao wachuguzwe maana yule group member mwenzao lord eyez nae n mwizi wa vifaa vya magari je na wakina joh nao n wezi
 
Wezi ni wabaya. Lakini hii tabia ya kuua watu wanaosadikiwa ni wezi ni mbaya sana. Hivi ukikosea ukamuua mtu kwa makosa unarejesha vipi uhai wake?
Tanzania tunapotea, kama kuna kufeli kwa mahakama na mfumo wa sheria yashughulikiwe lakini sio kila mtu kuachiwa awe hakimu , tutauana wote kwa fitna tu.

Wewe hujawahi kuibiwa ndiyo maana unasema hivyo ,mi hata mtu akiiba njiti ya kiberiti a deletiwe tu,ila walikosea kuwaita majambazi hao ni wezi tu wa kawaida au vibaka
 
Hoja yko haina mashiko km ndo ivyo basi weusi nao wachuguzwe maana yule group member mwenzao lord eyez nae n mwizi wa vifaa vya magari je na wakina joh nao n wezi
Mmmh!.Bosi vipi tena!
 
Wadau jana zilizambaa taarifa za vifo vya wasanii wawili walio chini ya label ya Sharobaro Record UdeUde na IKU katika tukio la ujambazi huko Tanga. Wasanii hao waliuawa na polisi wakisaidiwa na raia wema katika jaribio la ujambazi wa vifaa vya magari ya serikali.

Kama mtakumbuka miaka michache iliyopita uliibuka kwa kasi sana wizi wa vifaa vya magari kama Power Windows,Radio,Side Mirrors na vifaa mbali mbali vya magari. Mwaka 2013 mimi nilikuwa muhanga wa matukio kama hayo na kutoa taarifa polisi baada ya baada ya uchunguzi wa miezi kadhaa nilikuja kugundua kijana mmoja wa kiarabu anayeitwa IKU alishiriki katika tukio hilo..

Na taarifa za chini chini ni kuwa mtandao huo ulikuwa ukimhusisha kiongozi wa MasharoBaro Tanzania Bob Junior na vijana wengi wa pale hutumika katika uhalifu huo katika mikoa mbalimbali nchini.

Kwahiyo taarifa hizi za kuuwa kwa majambazi hayo ni ishara kwa Polisi kuanza kumchunguza msanii huyo na kuna tetesi alishawahi kuhojiwa na polisi kuhusu Tuhuma hizi.

Tulipongeza jeshi la polisi kwa kazi nzuri ya kutupunguzia hawa wanaoturudisha nyuma kimaendeleo imagine umechukua gari kwa mkopo ndani ya mwezi maharamia hao wanaiba vifaa vyote na kukuingiza gharama za mamilioni.
Hapa kazi tu.
 
Back
Top Bottom