Haha haha 😂.Kiba ameimba Na R Kelly Na anazo pesa nyingi kuliko wasani ote barani Africa ..sema tu yeye hapendage show off ..
Uwo ni muono wako ww bila ata utafiti
OK vzr kam umefanya uchunguzHapana siyo muono wangu
Ni namba moja sema hataki kujionyesha,Kiba anamiliki Mansion Ibiza.King kiba namba ngapi? [emoji3]