Wasanii kumuunga mkono Magufuli

Watapambana lakini hawatoshinda,CCM ni lazima iondoke madarakani,MABADILIKO NI LAZIMA!!
 
[h=3]Kwa niaba ya Baraza la Vijana wa
CHADEMA (BAVICHA), kwa
taarifa hii tunarudia kukemea jitihada zozote za kumlinda na
kumtangaza Lowassa
kuwa shujaa katika taifa letu kwani hali hii ikiachwa
kuendelea inatoa mfano
mbaya kwa vijana wa Tanzania. Tusingependa kwa namna yoyote
katika taifa letu,
mtuhumiwa wa ufisadi aliyetajwa pia katika orodha ya
mafisadi(list of shame)
kulindwa na kuenziwa kama shujaa wa Taifa letu kwani ni
kuharibu maana nzima ya
ushujaa katika uwajibikaji.


Imetolewa tarehe 31 Agosti 2008
safirini Kenya na:

John Mnyika

Mkurugenzi wa Vijana

0754694553[/h]
 
CCM lazima ife mwaka huu na tulishaamua

Ndugu yangu kufa haifi,goli la mkono tayari lishafanyika.Kwani umeona UHAKIKI wa majina ya wapiga kura?

Nimecheck informations zangu jibu linarudi sijajiandikisha,nendaofisi uliyojiandikishia.Nilipojiandikishia hawana taarifa zozote za kuhakiki DAFTARI,nauliza kinachoendelea ni kipi??Kwa Dar kesho mwisho kuhakiki???Lubuva yuko aware?Viongozi wa vyama??

Kama unafikiri utaitoa CCM umeliwa,kinachoendelea wakati huu TUME si kizuri hata kidogo.Mmeambiwa tuashinda kwa njia yoyote ile haijalishi njia gani lakini lazima CCM ishinde.

Poleni WADANGANYIKA,Poleni wapinzani....Endeleeni kupiga kelele kwenye majukwaa wenzenu wameshadelete information nyingi za wapiga kura.
 

Tenga muda wa kusikiliza vyombo vya habari,magazeti na television..usitumie muda wako mwingi kukaa vijiweni na jamii forum kupata habari,nakuziongea pasipo kuzifanyia tafiti.

Ntakuwa mpumbavu kuendelea kujenga hoja na mtu wa namna hii
 
Wapenzi wa UKAWA suseni kazi za wasanii hawa mara moja kuanzia sasa
 
Magufuli ndiyo kiongozi pendwa na watanzania tunaomba mungu atusaidie huyu fisadi Lowasa asiwe kiongozi atauza taifa letu huyu Lowasa mwizi mpaka anajiibia mwenyewe.

Mwombe SHETANI awasaidie apite kwenye urais,lakini katika nchi hii wanaomtegemea MUNGU ni mafuriko kwa hiyo SHETANI atashindwa tu kwa jina la YESU na ALLAH.LOWASSA ni chaguo la MUNGU.
 

Naona Ruge keshaanza kupokea maelekezo, na wasanii wameshaanza fanya yao...hivi tujiulize CCM imewafanyia nn wasanii? Kwa nn wasiwasupport wasanii wenzao kama Prof. JAY, Sugu, Mlata Australia Irene Uwoya bila kujali itikadi za vyama vyao ili waendee kutetea maslahi yao bungeni?
 

Unamaana mziki au filamu zinaweza zuia mafuriko kweli ??.minaona kama wanajiua kwenye fani zao.
 
Magufuli ndiyo kiongozi pendwa na watanzania tunaomba mungu atusaidie huyu fisadi Lowasa asiwe kiongozi atauza taifa letu huyu Lowasa mwizi mpaka anajiibia mwenyewe.

Na vipi Wezi wa pesa za ESCROW? Ngeleja,Tibaijuka,Muhongo na Chenge?
 
Hata mcheza uchi wema sepetu nae anampigia Kampeni mgombea? Kweli magufuli anapigiwa Kampeni na watu waliokosa maadili!
 

Hujatumwa na Mnyika bali umetumwa na shetani ccm
 
Wasanii kumuunga mkono mgombea ni uamuzi wao. Ila kama wameshinikizwa siyo jambo jema maana linaweza kuua solo lao. Kama msanii inatakiwa uwe neutral ili uweze kuiunganisha jamii yako. Kitendo cha kuchagua upande mmoja tu kinaweza kikasababisha mapenzi ya wale wasiokuwa upande huo kupungua ama kuisha kabisa dhidi ya msanii. Hivyo soko limepungua. Wapi marlaw
 
Ukahaba wa mtu hauna uhusiano na uraisi wa mtu mwingine,tutakacho cc ni kazi tu ya kuitoa nchi chooni hadi sebuleni....!kama mtu anapigiwa kampeni na k..ba au na malaika hayatuhusu vikatio na akili tunazo cc wala hajatushikia huyo k..haba ukichanganya hv viwili lazima uchanganyikiwe!
 
Kuungwa mkono na Shilole na Wema nako ni sifa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…