Wasanii, hadi tuone mnafanya ndo tuelewe??

Wasanii, hadi tuone mnafanya ndo tuelewe??

mkuu hiyo hiyo, wewe ulionaje lile jamaa lilivyokuwa linafanya na wala halikumpatia hela yule binti likampa cheque feki, wanawake wanateseka jamani.

Hatari tupu, bahati nzuri nilikuwa mwenyewe home.
 
Hujawahi kuona muvi zenye adult content.

Utazima tv
 
mkuu kwa movies za TV nazo zinakuwa zimeandikwa wapi? maana unaikuta ipo dstv na wewe unajikunja kuicheki, huna kasha lake wala nini ili usome hayo.

Wewe huwa unaangalia dstv gani ambayo hawakuandikii kwamba movie iko suitable kwa watu gani...

Hata kama ukiikuta hewani pale juu pembeni lazima wakuandikie...na unaweza kuzifunga channel ambazo unaona hazifai kuangaliwa na watu flani flani...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom