Wasanii Bongo Fleva na ajenda za ushoga

Huo upinde kwa jina la rainbow ni alama ya kusapoti u gay na transgender..hata kwenye ligi ya soka ya uingereza kitambaa cha kaptain sharti kiwe na rangi hizo ili kuonesha wako pamoja na wanasapoti watu wa aina hiyo.
Nimeuliza ule unaotokea angani???
 
Ushoga uko dunia nzima, hauna asili, tofauti iliyopo ni mijini na vijijini, mjini ni rahisi kuwaona kwasababu miji inakusanya watu wengi mahala pamoja, hata minority wanaonekana

Vijijini wapo ila kutokana na uchache wao na ukaribu wa kijamii wengi wanaoishi huko wenye hali hiyo huwa ni wachache sana na hujificha sana ama uhama uko. Ila hakuna mji duniani ambao hauna shoga asilimia mia, hata Jerusalem na Mecca wapo
Hakika kabisaaaa.
 
niliona pia kwa Sarafina katika ukurasa wale wa Instagram amepost clip ya challenge ya wimbo wake mpya. Yule aliecheza ile challenge ni wa kuhurumiwa na pia sijajua mpaka sasa lengo la Sara lilikuwa hilihili la Mbosso au namna gani?
 
Yaan Dear watu wamevurugwa mnoooo, kila kitu ni ushoga khaaaah.
images.jpeg
images (8).jpeg


Huo ndio utambulisho wao mashoga na wasagaji.... Na wamepewa rangi hizo na bendera yao kuwatambulisha wajuane.
images (9).jpeg
images.jpeg
images (8).jpeg
images (9).jpeg
 
Ukiishaamua kuwa moto kuwa moto moja kwa moja, halikadhalika pia ukiwa baridi kuwa baridi moja kwa moja...kuna vitu vingi vinafanywa na wasanii wetu ila vinaonekana vya kawaida ilihali baadaye vinakuja kuzaa au kuleta mambo ya ajabu kabisa.
 
mkuu inaonekana mimi na wewe tupo kwenye two different sides of the coin na huelewi mimi ni nini nimekusudia hapa.

(1) kuna watu ambao wanafanyia watoto hivyo vitu na they don't care about campaign juu ya ushoga
, ni kweli na mimi sipingani na wewe

(2)kuna campain ambazo kazi yake ni kutetea ushoga pale ambapo unapingwa, kuexternalize ushoga pale ambapo haufahamiki

(3)kuonesha ufahari kwamba ushoga ni kitu kizuri na kwamba unasapot.

Anachofanya mboso ni kufaharisha ushoga na kwa sababu kuna millions of people ambao wanamfuatilia na 99% ni vijana kuna higher probability chance wakamuunga mkono na kua kama yeye na hapo kama taifa ndio tutaangamia.
Sasa mkuu, mfano mimi huu uzi wako ndo umenijulisha hizo rangi ndo wanatumia hao watu.

Anawezaje kutangaza ajenda yao kwa watu ambao hatufahamu? Yaani mtu avae marangi halafu imfanye mtoto aliye darasa la 2 ajue huo ni ushoga?how? Kuna mdau amesisitiza kulea watoto vizuri na wajue good and bad kuhusu wao. Curiosity yako kwenye hayo mambo ni kubwa sana.
 
Topic ipo fom3 huenda mwalimu wenu aliamua tu awafundishe mkiwa fom4 ni sub topic ngumu kimtindo
Nenda Tanganyika Library vitabu vipo, mimi nilimaliza form 2005,sijui wewe ila ni topic ya form 4,zikiungana pamoja na Modern Physics, Electromagnetism (Magnetic effect of an electronic current na Magnetic Inductions) na Wave.

Kama unabisha tukutane sehemu, tunaenda Tanganyika ,kabla ya kuingia Library tunaweka dau hata la ten ten,tunaingia mule.

Sitaki nifunguke sana ila najua ninacho kiongea 100% na tena nipo vizuri.
 
Back
Top Bottom