Wasaliti waanza kusalitiwa

Molembe

JF-Expert Member
Dec 25, 2012
9,821
11,527
Inasemekana ndani ya CCM kumekuwa na joto la kutaka waliotoka Upinzani watoswe, wapewe wenye Chama waliokipigania Chama toka awali na sio hawa hama hama.

Mnyetishaji wangu ameniambia baada ya mmoja wa wasaliti hama hama kuambiwa hivyo BP, pressure, mgandamizo wa damu na shinikizo la damu lilipanda ghafla na kukimbizwa hospitalini, mtia nia huyo ameambiwa ni lazima amuunge mkono mgombea ubunge ambae ni chaguo la mkubwa ni aliyekuwa mtendaji mkuu wa umeme na madini.

Chanzo kinasema aidha arudi kugombea jimbo lake ambalo amelitelekeza kwa muda mrefu na kuhamia kwingine na ahakikishe anamuunga mkono mgombea huyo ambae hawakukutana barabarani na mwenye Chama, kwa sababu ndani ya jimbo hilo Kuna koo ambazo hupiga kura kwa kuangalia kuwa huyu ni koo yangu, koo ya mgonjwa ndio kubwa huku koo ya mteule ikiwa ndogo, endapo asipoungwa mkono na koo hiyo hawez kushinda maana pamoja na yote koo hizo ni hasimu, hali itakayofanyika yule kijana apite tena.
 
Ukiona "inasemekana zipo nyingi" na "mnyetishaji wangu" bila shaka ni CHAI isiyo na sukari
 
Waitara ameshasema amelazwa siku 8 ila hajaambiwa anaumwa nini.
Jibu ni rahisi,ukiona mtu aliyekuwa ananengua vile miezi michache iliyopita akiwa physically fit,Mara kalazwa na haambiwi anaumwa nini???Might be....19.Siyo mchezo,na vile siyo waziri tena,na Stress nayo haitakosekana.
 
Back
Top Bottom