Wewe umechanganyikiwa
Katika makundi yaliyokiunga mkono chadema na vyama vingine vya upinzani mapema kabLa ya uchaguzi mkuu 2010 na baada ya uchaguzi huo 2011 na 2012 ni wafanyakazi wakiwemo walimu na madaktari, wanafunzi wa.vyuo vikuu na vijana mitaani. Ninadiriki kusema kuwa makundi haya yameisaliti harakati ya ukombozi. Wengi wao kwasasa wamerejea kwa magamba. Linganisha migomo ya walimu na madaktari ktk kipindi nilichokitaja na hali ilivyo sasa, jamaa wamekuwa wapooooole!. Vivyo hivyo wanafunzi wa vyuo vikuu, miaka hiyo waliuwasha moto kwelikweli, lkn sasa.wamepooooo!.
Chaguzi zote.za serikali za wanafunzi vyuoni tunaambiwa "ccm" wamechukua huku BAVICHA ikiambulia patupu. Mitaani vijana wameamua kuungana na gambaz, ona chalinze na Kalenga ni udhihirisho kuwa hata bodaboda nao wameusaliti ukombozi. Walimu na madaktari ndo usiseme, juzi mei mosi wameifagilia serikali ile mbaya kwa eti kushukuru kwa maboresho ya maslahi yao.....yepi?.
Swali langu; wameona nini watu hawa ambao ndiyo tuliwaamini kwa kuongoza mapambano ya ukombozi???. Mbona wameota mbawa kziruka harakati.za ukombozi?????

WAKOMBOZI WENGI WAMEPANDA MBEGU ZA UHURU kwa kujitolea maisha yao:EDUARDO MONDLANE,STEVE BIKO,CHRIS HANI,PATRICE LUMUMBA,THOMAS SANKARA,
MAKUNDI MASLAHI HAYAWEZI KULETA UKOBOZI MPAKA YAUNGANISHE NGUVU NA KUPANUA MTIZAMO KUTOKA MASLAHI YA SEKTA HADI MASLAHI YA TAIFA!
WATAWALAO WANAWEZA KUKATAA,KUTEKELEZA KWA USANII MADAI YA KUNDI MASLAHI AU KUUA MADAI KWA KUWAADHIBU VIONGOZI AMA KUWANUNUA
KW HIYO KAZI NI NGUMU BADO.JE ULISIKIA WAALIMU WAKIUNGA MKONO MADAKTARI?