Kuna ka ukweli hapo..au wanaishia kupangiwa nyumba na babaWaliokaa kwenye majumba mpaka kuolewa ni wasichana waliofanya kazi miaka ya nyuma. Walio wengi ukishakaa naye mwaka au miaka miwili akishanawiri anataka kwenda kwao na akishaenda ndio harudi tena.
Hivyo kwa sasa ni ngumu yaani kumi kwa mmoja.

Hapana aseee,.nilitaka mm hiyo shughuli[emoji41]Unao wengi Mkuu
Kweli kabisa kwanza wengi wanakuja wakiwa wameshajua kila kitu , wakati wa zamani hata wanaume walikuwa hawana na walikuwa wanaheshima , wanajitunza na kujithamini.Kuna ka ukweli hapo..au wanaishia kupangiwa nyumba na baba
We jamaa kila Uzi lazima uchangie huwa unafanya kazi SAA ngapiSitajisikia vibaya wala nini. sanasana nitampongeza na kumuacha akaanze maisha mapya ya ndoa
Nafanya kazi kwa saa 5 kwa siku..We jamaa kila Uzi lazima uchangie huwa unafanya kazi SAA ngapi
mkuu Joseverest ni mlinzi wa diamond (yule mwenye madevu kams rick ross) muda wote yupo na iphone mkononiWe jamaa kila Uzi lazima uchangie huwa unafanya kazi SAA ngapi
Big upSitajisikia vibaya wala nini. sanasana nitampongeza na kumuacha akaanze maisha mapya ya ndoa
Fresh mkuuBig up
Hahaha asante kwa utanimkuu Joseverest ni mlinzi wa diamond (yule mwenye madevu kams rick ross) muda wote yupo na iphone mkononi