Wasaidieni walimu wa Private schools

Wahenga wanadai udaktari, unesi, ualimu ni WITO.
Walioenda ughaibuni wanadai walimu kule, wa ngazi zote, wanawajali sana sana sana.
Kwetu wanaojaliwa ni machawa na wanasiasa tu!
Wenzetu wanaelewa, kizazi kijacho lazima kifundishwe na watu wanaojaliwa na dola. Sisi?! Bhaaa!
Kazi bado ipo sana sana sana
 

Kwani wanakatazwa kuacha kazi .

Ubepari ni unyama Broo.
Mabepari kazi yake ni kutengeneza faida kubwa .
Shule zimekua biashara kubwa sana badala ya huduma . No one cares kwa sababu nchi iko katika kipindi cha mpito .Haisimamii Katiba ya Chama cha mapinduzi wala Katiba ya nchi inayosema Tanzania ni nchi inayofuata mfumo wa Kijamaa na kujitegemea.

Ujamaa na soko holole ni hatari sana.
Dawa yake ni kuacha na kuwa Chawa maisha yaende kama Mwijaku.
 
Kuna shule mmoja nina hasira nayo wee acha mamilioni yanalipwa eti wanadai mtoto alive hela yote.

Yaani nimeghadhabika sana. Nimejijutia kumpeleka mtoto shule hii x

Ni kweli kabisa hizo shule za Private zinaendeshwa kitapeli sana .
Kwenye fomu wakati mwanafunzi anaanza wanakuoaghai kuwa mtoto atalipa ada mara nne kwa mwaka yaani Januari,Aprili ,Julai na Septemba anakamilisha Ada yote .
Mtoto akifika Darasa la nne wanaanza Figisu za kusema alipe Ada mara mbili tu . Na wanaanza kumtoa Darasani na kumbughudhi mara kwa mara .
Seikali haina meno maana kila mtu anaangalia mambo yake na familia yake . Waziri anashangaa kusikia mtu ameshinda kulipa Ada yote mil. 3 . Anaona ni kama Efu tatu tu kwake hivyo wala hafuatilii vijihela vidogo kama hivyo kwa mzazi kushindwa kulipa kwa mara moja .

Maana wa uchaguzi lakini hatusikii Kampeni za Mipango ya Tanzania kwenye Elimu, Teknolojia ,ajira , mfumuko wa bei, Kupunguza Kodi,kupunguza ,riba kwenye mabenki, mishahara midogo ,kikokotoo,kupanda kwa bei ya umeme, Ujenzi wa makazi bora na salama na ya bei nafuu kwa watanzania waishio mijini .

Tunachosikia kwa chama Tawala ni vitisho na ushindi ni lazima ,mara ebola ,mara ,mitano tena ,mara tunaenda na mama ,mara .Election sijui no .
Hakuna midahalo ya kuzungumzia Tanzania ya miaka 50 ijayo na nini kifanyike .
 
Unapelekaje mtoto huko wakati hela yako ni yakuunga unga?
 
Tukixitajanshule za private kwa majina mods wanaondoa lkn hawa wamiliki wamekuwa tatizo kubwa.

Mzaz analipa milions hawana hata huruma. Kwamza wana block majukwaa ya wazaz ili msipate platforms za kupelekea matatizo.

Nakumbuka tulikaa kikao na shule F hapo dsm mmiliki alijifanya eti tuko transparent alikaa na kikao cha pamoja, baadae akatuletea walimuntukaa nao. Mmh nilihisi maigizo.

Kuna walimu wa kindergarten hawana skills kabisa, mwl wa standard one,two,three hana uwezo. Wanatarqjia watoto waletewe genius? Nilichogundua government kuna walimu wazurnsana tatizo mishahara.

Private baadhi wanajua kuish na walimu. Best teachers emergine mwl wa private anamtreat mtoto wa std two kama form one. Nchi yetu imejaribika mno. Wazir wa elimu namuonaga kama mganga wa kienyeji two.

Watoto wangu nimeona bara niwapeleke academia zabserikali. Baasi
 
Mwee! Kwani si waliomba wenyewe? Usiwaonee gere wala husda. Mnapiga yowe uck mchana eti hakuna Ajira halafu wenzenu wakijiongeza huko, bado mnageuka tena na kuanza kuwapigia yowe hao walijiongeza huko. Acheni hizo bhana.
 
Private zinatofautiana jamani, Kuna shule wanaanzia 500k mpaka 900k per month, hii inatosha sana aisee. Na Walimu wao ni competent sana.
Ila Kuna nyingine waminywa sana pole kwao.
 
Private zinatofautiana jamani, Kuna shule wanaanzia 500k mpaka 900k per month, hii inatosha sana aisee. Na Walimu wao ni competent sana.
Ila Kuna nyingine waminywa sana pole kwao.
Nanukuu: "Ila Kuna nyingine waminywa sana pole kwao".
Hizo kama zipo, ni chache sana. Halafu mishahara ya huko ni negotiable within a specified range. Kama mwalimu mwombaji sio smart i.e.hakuweza kubargain vizuri kabla ya kuajiriwa, ndo anaishia kulipwa kiduchu. Akija kushtuka anahama to a greener pastures
 
Wambie watafute Kazi nyingine kwani ukisomea Ualimu lazima uwe mwalimu TU???
Ukiwa umesomea na kufuzu kupata cheti cha Ualimu; wewe ni mwalimu tu. Tofauti na hapo utajiajiri mwenyewe e.g. Mkulima hodari, Afisa usafirishaji(Boda), Saidia fundi n.k....hizo hazihitaji cheti chako.
 
Of course yes!
 
Nanukuu: "Wazir wa elimu namuonaga kama mganga wa kienyeji two."
Umemwonea bure huyo Waziri. Zipo Guidelines kwa shule zote nchini Tz.(private na Govt.)ambazo wenye shule wanapaswa kuzingatia. Inapotokea wapo wasiozingatia hilo yan waliokiuka au kuzembea; basi wawakilishi wa Waziri i.e. DED, Afisa Elimu(W) na Wakaguzi Elimu ngazi zote, hao ndo wanastahili uwaite waganga wa kienyeji. Waziri (hata ungekuwa ni ww) sio rahisi uzijue kero za shule zote hapa Tz. labda zile kero ambazo ni special cases.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…