St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,994
- 5,233
Wanatia huruma hawa WatuMambo ya english medium primary school hayo
nimekuhamuKwani walimu wa shule za kata wanalipwa shilingi ngapi?
Kwani walimu wa shule za kata wanalipwa shilingi ngapi?
hapana. Wakaguzi, wazazi na idara ya kazi pitieni kwenye hizi shule mkajionee mauzauza
wanalipwa TGSD ambayo ni zaidi ya laki 6 kwa mwezi
Na mwanao pia atateseka kwa kufundishwa chini ya kiwango.Walim weng vibaraka achen mteseke
Wizi wa mtihani ndio umetawala huko. Inasikitisha sanaWakaguzi na wizara ya kazi lazima waufyate. Shule zao wao zina stink to high heaven! Ofisi ya Rais Tamisemi, Captain Yusuph Makamba Secondary School Dar es Salaam, watoto wana division sufuri kama wote.
Wazazi, on the other hand, nao hawana nguvu ya kulalamika. Private schools wanatunga mitihani ya NECTA. Shule ya wasichana ya Masista Mbeya mwaka huu Form 4 wameandika Guiness World Record. Watahiniwa wote wa kituo cha mtihani wana pointi saba Utawaambia nini, hutaki mtoe mtoto wako.
Na hela wanapiga. St. Marian Boys and St. Marian Girls wamefanya intetview Bagamoyo. Wamekuja watoto 6,000. Mtihani buku 50. Jumla 300 Milion non refundable quick cash.
They dont give a flying fvck about what you say, and they can afford not to.
ya niniUna ndimu...!??
Sema hata huko kwenye shule binafsi nako kumegawanyika. Zipo zinazolipa vizuri, na zipo hizo za wanyonyaji.Salam kwenu.. Nije kwenye hoja.. Hawa walimu wanasikitisha.. Mishahara ni midogo sana.. 200,000/- mpaka 400,000/- kwa mwezi.
Kazi ni kuanzia saa 12 asubuhi mpaka saa 12 jioni. Jumatatu mpaka Jumamosi. Hakuna overtime wald posho.. Lakini wewe mzazi unalipa 2,000,000/- kwa mwaka..
Swali la kujiuliza ni Je huyo mwalimu anayemfundisha mwanao ana thamani ya kumfundisha mwanao.. Jibu ni hapana.. Shule zinaajiri vijana wadogo wasio na uzoefu wala weledi wa Ualimu. Lengo ni wamiliki wa shule kupata Super profit..
Je.wewe mzazi unaona sawa mwanao afundishwe na mwalimu wa kuokoteza wakati wewe unalipa mamilioni.?? Jibu ni hapana. Wakaguzi, wazazi na idara ya kazi pitieni kwenye hizi shule mkajionee mauzauza
Kuna shule mmoja nina hasira nayo wee acha mamilioni yanalipwa eti wanadai mtoto alive hela yote.Walim weng vibaraka achen mteseke
Nilichogundua ni walimu kukutumia wazaz kama vichwa. Yaani anakushawishi uwe unamlipa 30k au 50k kwa mwezi eti awe anamsaidia mwanao.Salam kwenu.. Nije kwenye hoja.. Hawa walimu wanasikitisha.. Mishahara ni midogo sana.. 200,000/- mpaka 400,000/- kwa mwezi.