Wasafi TV & Radio Kenya:

puttin

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2015
Posts
226
Reaction score
369
Kwa hii KIKI ambayo Basata wanampa Diamond na Basata ya kenya inaonekana kama inampa Authorization ya yeye kupiga shows.Mashabiki wa muziki wa kenya wanachukulia kama Vita ya Mkizi furaha kwa kunguru ndugu yetu Diamond angetumia hii fursa Kufungua Wasafi Media kenya ange take over sana Game kabla ya huu upepo haujakata ..
Either kwa partnership au vyevyote vile
 
Hapa Tanzania bado hivyo vituo havijaimalika zaidi ya umaarufu wa social media, ataanzaje kufungua nchi nyingine badala ya kuimarisha kwanza hapa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…