Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,519
- 2,047
- Thread starter
-
- #201
wewe ndo nimekupuuza rasimi, haujui maana ya BRANDING INTETEST KWENYE BIASHARA, na ndo maana unaruka ruka Rudi hata la Saba B , ukasome biashara, Mimi ndo kigogo wa BRELA Ko sibishiwagi'Nimekupuuza rasimi Kwakua,huna lolote unalolijua kuhusu biashara, na elimu yako ni ya kwenye makaratasi na haijakusaidia chochote.'
Hahah umeulizwa value ya Brand kwny B/Sheet ya wasafi unaanza kuruka ruka.
Sikukutuma ukimbie shule arifu,hahah.
wewe ni boya sana,WASAFIMEDIA GROUP (WMG) UNDER THE YOUNG GENIUS DIAMOND PLATINUM'Boya ni wewe jobless, ulieshinda humu jF kuanzia uzi uanzishwe hadi usiku huu Ili ubishane na ukweli unaoelezwa na watu'.
Hahah haya mambo huwezi kuyaelewa,wewe subiri uhadithiwe na radio mbao za huko mtaani,BTW Wkt unakuja mjini stand uliikuta iko wapi?Mnazi mmoja au Ubungo?
Hahah cha ajabu boya mkuu ambae ni (Mwajiri) yuko anabishana na boya mwenzake(ambae ni jobless),hakika kipofu kauona mwezi.
hapana tufanye ni ya zabibu kibamia na kundu boyHapana nadhani tufanye ni ya Hamisa Mobeto.
haiwezekani na haitatokea, tangu lini diamond platinumz awe Pepsi na coca cola ambassador kwa wakati mmoja...!!!??Kw
Kwani Tigo haiwezi kuzamani matamasha yote mawili?
ushafeli square
Sidhani kama uko sawa wewe, ingekuwa haiwezekani basi hao Tigo wangeishia kupeleka matangazo yao ya JAZWA UJAZIWE Wasafifm tu, ila mbona wanapeleka hadi Clouds na radio zingine. Sasa kipi hapo kishindikane kudhamini matamasha yote mawili?haiwezekani na haitatokea, tangu lini diamond platinumz awe Pepsi na coca cola ambassador kwa wakati mmoja...!!!??
Umoja ndiyo nani?Boss wa zote 2 ni umoja
Sio kweli,mmiriki sio mmoja,'THE RISE OF WASAFITV and THE FALL OF CLOUDSTV.'
Sasa Clouds itaangushwaje na Wasafi wkt mmiliki wake ni mmoja mzee Baba?
Kusaga ni kichwa sana arifu.
si kweli TIGO wameisaliti Clouds, Tigo bado anafanya biashara na Clouds ndio maana mpaka sasa unasikia matangazo ya Tigo yakichezwa,Habari Wana jamvi;
Kwa mwendo huu wa WASAFITV kuruhusiwa kuonyeshwa bure kwenye kisembuzi Cha AZAMTV ni ukomavu na ukuaji mkubwa wa tasinia ya taarifa ya habari nchini.
Pia imedhihirisha ni kwa namna gani DIAMOND pamoja na WASAFI ni mahodari na wabobezi kwenye nyanja ya habari sana.
TIGO wameisaliti CLOUDSTV na kukimbilia WASAFITV,hii inamaanisha kuwa WASAFITV ndo inakuja kuleta mapinduzi mapya,yenye misingi ,tija na manufaa kwa wanamziki/wasanii kwa ujumla nchini Tanzania.
Hiki kitendo Cha TIGO kinaonyesha kuwa CLOUDSTV imeisha kufa na imebakiwa kuzikwa,na kwa Sasa habari ya mjini ni WASAFITV.
S/O kwa Diamond platinumz the G.O.A.T pamoja na chuma Cha WCB na WASAFITV kwa ujumla.
THE RISE OF WASAFITV and THE FALL OF CLOUDSTV.
View attachment 1633721
Kusaga anaingiaje sasa?
tatizo mnafuata sana (udaku),yaani mkisikia mange kimambi amesema na nyie mnatega masikiao,WASAFITV ni ya DIAMOND PLATINUMZ THE KING OF TANZANIA MUSIC, nimeandika kwa herufi kubwa ili USIRUDIE pumba zako.
Kujua nini?Hujui au unajitoa akili
Nahisi clouds ni ya family ya kusaga ila kule wasafi Kusaga na Mkewe wanatengeneza empire yao in case Joe hayupo, Sheba kusaga asimzingue wifi yake na watoto.
Wanahisa wa WASAFI TVKusaga anaingiaje sasa?
Hakika sio kweli kabisa kabisa kabisa.Sio kweli,mmiriki sio mmoja,
Mwenye hisa wasafi ni mke wa Kusaga,sio Kusaga mwenyewe,
This is business,business has nothing to do with marriage
hujui lolote dogo, kaa kimyatatizo mnafuata sana (udaku),yaani mkisikia mange kimambi amesema na nyie mnatega masikiao,WASAFITV ni ya DIAMOND PLATINUMZ THE KING OF TANZANIA MUSIC, nimeandika kwa herufi kubwa ili USIRUDIE pumba zako.
Siyo kweli. Kusaga hana umiliki. Halafu nani kakwambia Diamond ni final say pale?Wanahisa wa WASAFI TV
Kusaga = 50%
Diamond = 49%
Someone (nimsahau jina) = 1%
Ukirudi darasani....
Corporate governance inasema "majority sharejolder is the owner and last say"
Then mmiliki wa WASAFI TV ndio mmiliki wa CLOUDS TV.
#YNWA
Kwa hiyo wew unamiliki ninUngejua maana ya Controlling Interest(CI) vs Non Controlling Interest(NCI) ungejua ni kwanini wababe hua wanakimbilia kumiliki 51%+ na sio chini ya hapo.
Pumbu 2 na ndonga chalaa angu.Kwa hiyo wew unamiliki nin
Walikimbia shule hayo unayoyaandika hawawezi kukuelewa mzee baba.Wanahisa wa WASAFI TV
Kusaga = 50%
Diamond = 49%
Someone (nimsahau jina) = 1%
Ukirudi darasani....
Corporate governance inasema "majority sharejolder is the owner and last say"
Then mmiliki wa WASAFI TV ndio mmiliki wa CLOUDS TV.
#YNWA