Wasafi TV chaneli yenu inaboa

Wasafi TV chaneli yenu inaboa

Meja Jenerali Isamuhyo

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
3,110
Reaction score
9,619
Yaani chaneli ya Wasafi Tv inachenga za kutosha utasema enzi zile za analogi.

Unakuta unaangalia kipindi lakini watu huwaoni wanazibwa na chengachenga unabaki kusikia sauti tu🚮🚮🚮

Mjifunze basi kwa wenzenu tatizo hili ni la muda mrefu sasa, hamna mafundi huko??
 
Afu kuna kale kasauti kama karedio, unakuta unasikiliza wimbo gafla unamsikia baba levo anamsuta jeshi
 
Back
Top Bottom