Wasafi kumleta Wizkid kwenye tamasha lao?

edward93

JF-Expert Member
Jun 27, 2015
561
1,334
Kama ni mfatiliaji mzuri wa channel ya Wasafi TV utakubaliana na mimi kuwa siku mbili hizi Wasafi TV wamekua wakipiga mfululizo nyimbo za mkali huyu wa Bara la Africa Ayodeji Ibrahim maarufu kama Wizkid na hata kuonesha show zake alizokuwa amefanya maeneo mbalimbali duniani!

Je, hi ni dalili kuwa Wasafi Festival watafnya ule utaratibu ulioachwa na Fiesta Festival wa kuleta wasanii manguli kutoka sehemu mbali mbali duniani?

Je, utaratibu huu wa Wasafi TV ni dalili kuwa watamshusha Wizkid kwenye Viwanja vya Posta tar 9 November?
 
Mendez kasema.
20191103_000226.jpeg
 
Alishawahi kuja bongo. Halafu baada ya show na kurudi kwao akatoa ngoma ya Show U The Money, yaani ngoma alizoperform siku hiyo hazikua kali kushinda hii.

Sikumbuki poa ila nahisi aliperform hapo hapo Posta so akishuka uwanja wa ndege ni kumwambia tu 'Bwana Wizkid njoo pa siku ile'
 
Kwenye interview Block 89 ya mkurugenzi wao alisema huyu jamaa Wiz kid atakuwepo.
 
Back
Top Bottom