Tumepishana majukumu mkuu,nashukuru kwa majibu ila naamini bible ni moja mathew hakutia mkazo ila Marko katia mkazo naamini uhalali wa injili ya Marko ni sawa na Mathayo na hao wengine,utakaso wa vyakula VYOTE unaweza jibu makwanzo katika chakula,pia naomba upitie na Warumi14:2-3,ntaendelea kutoa vifungu ikibidi..Rafiki Yangu ZionGate Nashukuru kwa Kua umerudi! Lkn tunapishana Mkuu! We unaingia mi natoka!
Anyway! Haraka haraka Ktk hizo kauli za Yesu hakuna utakaso wowote! Ebu soma Vzr Hiyo Mathayo 15:1-20 utaona Hilo fundisho Vzr kabisa! Na Hiyo kauli ya Yesu kwamba chochote hakumaanisha katakasa au tunakula vilivyo najisi!
Ngoja nitasoma Hiyo mwanzo then ntakupa majibu Vzr!
Mkuu kama uko na bible nadhani itakuwa vizuri kujiridhisha,pia ikiwa mavi yanatoka moyoni basi ni Najisi..Mkuu Mstari Wa 21,22,23 Yesu ameeleza mambo au Matendo ya mtiao mtu unajisi! Mbona hapo iko wazi kabisa?
Ka ni kile kimtokacho ndio chaweza kumtia unajisi Mbona Ktk Matendo yamtiayo mtu unajisi hakutaja Mavi?
Bila Shaka kusudio la Yesu hapo lilikua ni usafi Wa moyoni si Wa nje ya mwili!
Tumepishana majukumu mkuu,nashukuru kwa majibu ila naamini bible ni moja mathew hakutia mkazo ila Marko katia mkazo naamini uhalali wa injili ya Marko ni sawa na Mathayo na hao wengine,utakaso wa vyakula VYOTE unaweza jibu makwanzo katika chakula,pia naomba upitie na Warumi14:2-3,ntaendelea kutoa vifungu ikibidi..
Ukipata nafasi naomba unijibu nini maana ya mvinyo au divai?
Ok nakusubiria iyo jioni labda tutaenda sawa..Mkuu ata Hiyo Mark ukianzia kusoma Mstari Wa 2-5 utaona hoja ya msingi kwamba wanafunzi walikula mikate kwa mikono isiyooshwa! Kinyume Na kanuni za wazee!
Kwahiyo sio Km Mark ametia mkazo Bali ujumbe Wa Mark na Matthew ni ule ule! Ebu soma Hiyo mark yote 7 kuanzia mwanzo mpk ule Mstari Wa 23. Utaona Simon Vzr kabisa!
Hapo hakuna utakaso Ktk vilivyo najisi!
Nikitulia usiku tutaendelea Vzr na hayo mafungu yako mengine!
Ok nakusubiria iyo jioni labda tutaenda sawa..
Mkuu kama uko na bible nadhani itakuwa vizuri kujiridhisha,pia ikiwa mavi yanatoka moyoni basi ni Najisi..
Mkuu hapa tutaenda sawa tu uzuri bible iko wazi kabisa..Mtazame kwa makini huyo Ntuzu anakuwa kama anakwepe baadhi ya maswali ya msingi....Ni mzuri wa kupiga chenga..
Ok nakusubiria iyo jioni labda tutaenda sawa..
Mtazame kwa makini huyo Ntuzu anakuwa kama anakwepe baadhi ya maswali ya msingi....Ni mzuri wa kupiga chenga..
Alivyovitaja vyatoka moyoni iwe kwa kupitia kinywa au kunena nafsini,cha chooni(tumboni) hakina unajisi na mtu na uzuri NENO ndio chakula cho roho ila chakula cha mwili ni vile vyote vipitiavyo tumboni na kwenda chooni,swali langu hapo alipotia mkazo wa kutakasa vyakula Vyote hakusema isipokuwa kitimoto au vyakula vingine ambavyo hamtumii,soma iyo Mark au hujaona neno VYOTE,na kama upo na bible naomba jibu la Genesis 9:1-5,pia warumi14:2-3Mkuu mi niko na bible kwenye sim yng na ndio Maana nakuelekeza wewe usome hayo mafungu uone kwamba Yesu alita vitu gani kwamba vyaweza mtia mtu unajisi! Kwanini Ktk hivyo vitu alivyovitaja Ktk Hiyo mark 20-23 asitaje na Mavi?
Ningependa na wewe ujiridhishe pia katika mjadala..Pamoja Mkuu! Ila Ktk hili unaweza ukaendelea kujadiliana na ndugu Blueband na Basluma Original wanaweza kunisaidia Ktk hili wakati nikiwa Siko hewani!
Alivyovitaja vyatoka moyoni iwe kwa kupitia kinywa au kunena nafsini,cha chooni(tumboni) hakina unajisi na mtu na uzuri NENO ndio chakula cho roho ila chakula cha mwili ni vile vyote vipitiavyo tumboni na kwenda chooni,swali langu hapo alipotia mkazo wa kutakasa vyakula Vyote hakusema isipokuwa kitimoto au vyakula vingine ambavyo hamtumii,soma iyo Mark au hujaona neno VYOTE,na kama upo na bible naomba jibu la Genesis 9:1-5,pia warumi14:2-3
Ningependa na wewe ujiridhishe pia katika mjadala..
Ninafurahi sn kuona Rafiki Yangu tedo unafatilia kwa ukaribu hizi hoja na ni jinsi gani unapata kujifunza ile Kweli!
Tangu mada imeanza mpk Leo mi nipo na wala sijakimbia! Na Hiyo ni uongo wako tu mkuu!
Waliokimbia ni hao walioshindwa kutetea kunenea kwa Lugha na kutuacha sisi tunajadili mambo mengine yanayojitokeza!
Nashukuru sn kwa uwepo wako Pamoja na busara unazoonesha sasa!
Pamoja Mkuu!
Hizo ulizotaja ni tabia zao binafsi na si mafundisho ya wasabato. Tungekuwa wabinafsi tungekuwa tunafanya juhudi kuhakikisha kila mtu anafahamu neno la Mungu katika usahihi wake pasipo uchakachuzi?. Kumbuka pia Yesu alituasa kuwa tupendane na akatuombea kuwa na umoja. Lakini sasa Yesu akasema, nikikuona unaenda kinyume na mapenzi ya Mungu, nitakuelekeza kwa neno la Mungu, na ukikataa alisema na awe kwako kama mtu wa mataifa. Kwa hiyo chunguza mienendo yako, kama ulikuwa mtu wa dini na bado walikutenga, basi labda walikuelewesha na mkaishia katika ugomvi wa kiimani, tofauti na hapo ni sawa na lile fungu linasema kwa maana nuru na giza havichangamani.
Kalamu iliteleza, i mean walikuwa na tabia ya KUPENDA KUJITENGA wao na madhehebu mengine ya kikristo
Ndio tabia yao...