Kwa muda mrefu wasabato wamekuwa wakifundisha kuhusu ulaji wa vyakula ambavyo wao waliviita bora huku wakinukuu mafungu ya kitabu cha Daniel ambaye alikataa chakula cha kifalme na akaomba apewe mtama.
Wasabato awali wakatafsiri mtama kuwa ni chakula cha nafaka chote na walimu wao wengine hadi leo wanasisitiza ugali wa dona.
Baada ya tafiti kuonesha hivi vyakula vyenye wanga ndio chanzo cha matatizo ya afya,wakaanza kubadili gia angani wakisema tafsiri ya mtama ni matunda.
Na wakaanza kusisitiza kula matunda kwa wingi kuliko vyakula vingine huku mayai na nyama vikisemekana vinaathiri mwili kwa wingi wa mafuta mabaya wakiyaita kolestero.
Hata hivyo kwa sasa inaonekana hata matunda mengi yenye sukari yakitumiwa kwa wingi,yana hatari kubwa ya kusababisha magonjwa yakiwemo ya kisukari kwa sababu sukari ya matunda ni hatari kwa afya ya ini kwa kuwa husababisha INI kuwa na mafuta mengi sawa na jinsi pombe inavyosababisha.
Chakula kilichosemwa vibaya eti kwa kuwa hapo awali kabla ya gharika Mungu hakuruhusu kiliwe yaani nyama,ndio chakula kinachoonekana salama zaidi kwa afya ya binadamu.
Kitu pekee kikichobaki kuwa salama ni mboga mboga ila zikiambatana na protini hasa ya nyama.
Ninadhani kuwa tuache kutunga vitu kwa hekima zetu na kusingizia neno la Mungu.
Tuogope kijitia walimu wa vyakula kwani ufalme wa Mungu sio kula na kunywa