Wasabato matengenezo

Status
Not open for further replies.
Usiwe na imotion but uwe na reasons. Ainisha matatizo yao
 


Mkuu mwakaboko Bilashaka Mimi Nimetoa hoja kwa kuelekeza vifungu ya Maandiko! Ni vema na Wewe ukapinga hoja kwa Maandiko!

Lete Maandiko hapa!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mwakaboko Bilashaka Mimi Nimetoa hoja kwa kuelekeza vifungu ya Maandiko! Ni vema na Wewe ukapinga hoja kwa Maandiko!

Lete Maandiko hapa!
aaaaahhh imebidi nicheke tu, okay, soma Mathayo 1 mpaka sura ta 5, luka 1 mpaka sura ya tano, nadhani hizo zinatosha kumjua Yesu Kristo alizaliwa na kukulia katika dini ipi!!
 
Asante kwa majibu yako..
BIBLIA katika kitabu cha Waefeso 4:5-6
inasema: "Bwana mmoja, Imani moja, ubatizo
mmoja, Mungu mmoja, naye ni Baba wa wote,
aliye juu ya yote na ndani ya yote". Kama
maandiko yanavyosema kwamba Mungu ni
mmoja, imani ni moja, ubatizo ni mmoja,
lazima siku ya ibada iwe ni moja.
Hivyo, yatupasa tuelewe wazi kwamba kuna
mahali tumefanya makosa, maana haiwezekani
Mungu huyu mmoja atuwekee siku mbalimbali
za ibada kiasi hiki, na kutufanya
tuchanganyikiwe na kujiuliza ipi ni ipi.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…