was kanye west right???

masai dada

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
17,581
Reaction score
20,216
na nini kilitokea mpaka mdada akaanguka huyo
 

Attachments

  • 1429810324680.jpg
    82.1 KB · Views: 795
Alitaka tu picha na staa, alitaka aonekane kashikwa mkono! Hata mamtoni wapo watu wa hivyo, halafu jamaa kakausha
 
Naona Kim anacheka..
Hahahaaa!watu wana mbinu sana.Cha kuvunjika bure nini kisa mkono wa Kanye?
 
Alijua hapo paparazzi kibao, hata hivyo si unaona amejulikana kwa kituko chake!
 
Hakukuwa na sababu ya msaada kwakuwa ilikuwa ni mchezo tu wa kupata attention ya mastaa, na wenyewe wakashtuka
Au pengine kanye angemgusa tu dada angedai kashikwa chuchu kadhalilishwa alipe fidia
 
Mi mwenyewe sio star ila sikuamshi
 
Mh angemsaidia tu...hakubehave like a real gentleman!Hata kama mwanamke wake yupo beside him ubinaadamu na utu habari nyingine kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…