Mohamedy cadinaly
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 2,449
- 2,276
Mkuu nakukubal sanaMathayo 2:13-14
Na hapo walipokwisha kwenda zao,tazama,malaika wa bwana alimtokea Yusufu,katika ndoto akasema,Ondoka umchukue mtoto na mama yake,ukimbilie misri ukae huko hata nikuambie
Yusufu na mkewe hawakuambiwa wakimbilie Misri kwa sababu ya Military protection
Kama mkimbizi anavyokimbia nchi yake na kwenda nchi nyingine kwasababu ya usalama.Hapana!
Wakati ule hata Misri ilikuwa chini ya Roman empire
Herode bado alikuwa na uwezo wa kuwatafuta na kuwapata kwasababu bado walikuwa chini ya utawala wake
Lengo kuu la kukimbilia Misri,lilikuwa ni kujichanganya na Black wenzao
Kwahiyo ilikuwa ni vigumu kwa Majeshi ya kirumi kuwatambua
Kama wangelikuwa whites wangelitambulika kwa urahisi
Kwasababu Misri ilikuwa ni ya Blacks wakati ule
References
THE PHYSICAL APPEARANCE OF ANCIENT ISRAEL,THE HEBREW&SONS OF HAM
Mkuu punguza povu bacAlikuwa black or white so what?ni upumbavu tu kukaa kujadili hilo maana halibadili anything. Nami sijawah ona picha ya yesu wewe umewah ona wapi? Watu hawaangalii rangi na by the way hata wayahudi si wazungu so haiwasaidii hata kusema alikuwa mweupe. Huku huku africa pia wapo weupe sioni issue ya msing hapo. Haya tuseme alikuwa mweusi. So what? Simple mind discuss simple things. Mi hata wakiniambia alikuwa wa blue wala sitak kubishana nao.it doesnt help me at all. Nafata mafundisho yake tu. Waafrika weng wamejawa na inferiority complex so wanatafuta hata vitu ambavyo havina maana waseme ni vyao. So what?
Mkuu hii elim mpya yesu n masih wa 16 kusubiriwa??? Nahtaji kufaham kuhusu hili zaidMkuu bado unaamini kuwa Mungu yupo?
Yesu mwenyewe ni masihi wa 16 kusurubiwa kwa ajiri ya mwanadam
Wa kwanza alikuwa ni horus na wote walizaliwa na Bikra na kufa wakiwa na miaka 33
Though both are Anecdotal tales lakini zinaweza kuwa na ukweli
Lakini mungu hayupo,kama utakuwa Intellectually honest kukubali ukweli utaelewa kwanini tunasema mungu hayupo
absolutely. .. daud nae alikuwa mweusi ,Je Daudi alikuwa mweusi? Yesu ni kizaz toka lea mfalme daud. Je daud alikuwa ni black?
We wangekuita GuJike tu,maana ni mgumu wa kuelewaJe Daudi alikuwa mweusi? Yesu ni kizaz toka lea mfalme daud. Je daud alikuwa ni black?
teh teh teh eeerh ... nilikuwa nafanya utafiti mkuu einstein newton, heri ya mwaka mpya. ..
Mkuu nakukubal sana
Kwel mkuuMkuu,miafrika mingine sijui ikoje
Mtu unamwambia Yesu hakuwa mzungu,anakuona muongo
Waafrika wangelijua historia yao,wasingelikuwa wanyonge kiasi hiki
Mtu mweusi ana historia kubwa sana!
Lakini watu wengi hawajui
teh teh teh eeerh ... nilikuwa nafanya utafiti mkuu einstein newton, heri ya mwaka mpya. ..
Kuna mdau anaitwa @GujikeKwel mkuu
oooh. ..so sorry! mi natumia callenda ya kichina ,Heri ya mwaka mpya?
Sheikh masikhara hayo,tunaelekea mwezi wa tatu huu
Utafiti gani ulikuwa unaufanya huko Bennie?
Anasumbiri had yule kiongoz wa Vatican aseme ndo ataminKuna mdau anaitwa @Gujike
Povu linamtoka kusikia Yesu ni black,si msiba huo jamani?
Kuhusu swala la Yesu kuwa ni black inawezekana but nifafanulie kuhusu unavyosema Mungu hayupo (enstein)