Was Jesus Black?

Was Jesus Black or White?


  • Total voters
    127
Hoja zako zinafikirisha..!!
 
Kwanza unajua kwamba wazungu na waafrika wote ukristo tumehubiriwa au kwa njia nyingine tumeletewa??? Ukilijua hilo afu njoo ujenge hoja!
 
mi nilipenda rasta movement but panaponishinda ni kwa haile selasie basi coz pengine pote wapo sawa
 
 
 
 
Was Jesus Black?

ili kupata jibu sahihi kuhusu hili swali mtu anae jua historia ya ukoo wa yesu aje atupe family tree mpaka kumfika yesu ndio tuta jua he was a BLACK MAN OR WHITE au chotala..
 
Taamu mungu yupo na tatizo ni dhana ya mungu ilivyoingizwa kwenye ulimwengu

Mkuu imma.one

Kuna point unayo lakini huitendei haki

Funguka mkuu
  • Dini na Mungu vipo pamoja?
  • Kati Mungu na dini kipi kilianza?
  • Kwanini unasema Mungu yupo?
  • Kipi kimekusukuma kusema hivyo?
 
pamoja na weupe wake deep Jesus muswahili- why? Cause alipoulizwa greatest commandmet amejibu mpende jirani kama unavyojipenda. Jesus muswahili bana.
 
kumbe jamaa alikua sio balck wala hakuwa white wala hakua na nywele ndefu. kumbe jamaa alikua na baba kabisa duh!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…