Was Jesus Black?

Was Jesus Black or White?


  • Total voters
    127
Kwani kuna sehemu kwenye biblia inasema waebrania wote ni weusi???
 
Ndiyo mkuu
  • Wote walizaliwa na Mabikra
  • Mama wa horus aliitwa Meri
  • Wote walikuwa watoto pekee wa Miungu[Horus alikuwa mwana pekee wa Osiris]
  • Baba wa horus aliitwa Jo-seph pia
  • Wote walikuwa na mitume 12
  • Wote walibatizwa wakiwa na miaka 30
  • Wote walikufa kwa kusurubiwa
  • Wote walifufuka siku ya tatu

Note;Horus alikuwepo miaka 1000 kabla ya kristo

Don't take my words for it,do your own research!

 

While it is true that Jesus is not a white man, people confused him and religion. Religion is meant to confuse people all over the world, the truth of the matter is religion is not the answers of peoples problems. People confuse religion and God. Religions did not come from God. Religions came from people in searching for God. This is why you have so many Gods all over the world. Why? the answer is looking for God. Now If you follow religion you will always get lost in the bush, but if you learn about Jesus you will realized that he actually did not bring religion, but salvation to all man kind.
 
Dini ni nini?
 
hahahaha....pumba tupu! Ila pamoja na pumba zako ile nimefarijika pale ulipo quote wote wanapekee wa "Mungu"
 

dini yangu haitakusaidia wewe kitu chochote! ndio sababu siwezi kukwambia, na nikutoa nje ya mada hii.
 
Na hakuna sehemu inayosema moja kwa moja kuwa yesu ni Mweusi

Ni kwa kuchunguza ndiyo utajua ukweli
Ukweli upi sasa?? wakati we umekuja na mada na umeshindwa kuthibitisha yale uliyoandika kwamba waebrania wote ni weusi?? Mkuu jipange upya
 
Ukweli upi sasa?? wakati we umekuja na mada na umeshindwa kuthibitisha yale uliyoandika kwamba waebrania wote ni weusi?? Mkuu jipange upya

Wewe una fikra changa bado
Kama hata umeshindwa kujua ni ukweli upi niliokuwa nauzungumzia

Napoteza mda wangu tu
 
Wewe una fikra changa bado
Kama hata umeshindwa kujua ni ukweli upi niliokuwa nauzungumzia

Napoteza mda wangu tu
We umeweka mada ivyo haikupi sababu kusema ulichokiandika kuwa ni kweli na umekithibitisha!! kwani hayo ni mawazo yako ndomana kwenye huu uzi wako kuna wachangiaji kwaio toa neno "ukweli" kwani sio sawa kutumia ilo neno wakati umetoa tuu mawazo yako na ukanukuu vifungu vya biblia na picha picha kwa chini.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…