Was Jesus Black?

Was Jesus Black or White?


  • Total voters
    127
duh kwa kweli jf naiheshimu sana hasa hili jukwaa
 
Mungu hayupo?????? hizi imani zinngine bhana!!!! kwamba Yesu ni wa 16 wa kwanza alikuwa horus!!!?? duuuuu!
 
What is the colour of early Jews? If they looked like Falasha, then he was brown, if they looked like the real Jews, they he had dark hair, dark closed eyes like Einstein and long jaws. but not white or blonde.
 
Tunaendelea kucheza lazy song
 
Issue ya msingi ni kuwa: it is illegal to steal another person's identity
 
Hii mada ni nzito. Inahitaji umakini wa hali ya juu. This white image of Jesus already hv a place in our subconcise mind hatuwez kuelewa now cz we have the book bt we didn't have time read. BT my point is basing on history. History on what we know is a lie big lie. Kitabu cha James W Loewen kinachambua mambo mengi ya uongo tulilojifunza shuleni. in his book Lies My Teacher Told Me, Loewen criticizes modern World history textbooks for containing incorrect information about people and events such as Christopher Columbus, the lies and inaccuracies in the history books regarding the dealings between the Europeans and the Native Americans, and their often deceptive and inaccurate teachings told about America's commerce in slavery and black people. He proposes that when American history textbooks elevate american historical figures to the status of heroes and at the same time downgrade the truth on reality, they unintentionally give students the impression that these figures are superhumans who live in the irretrievable past. In other words, the history-as-myth.
wengi tunaangamia kwa kukosa maarifa siku zote bible ipo open bt hatusomi we still belive in deception.
that is not the case my concern is abt these famous people namamisha wasanii wakubwa kama 2pac,kanye west na lil wyne. kwenye video za nyimbo zao wanaji depict kama jesus was blac na wanajifanya wanateswa msalabani what is this? wanamaanisha nn or its some kind of a cult manake we black people na red indians ndo tunaongoza kuteswa hapa duniani. cha kuwalaumu ni hawa tunaowaamini na kuwafanya viongozi wa dini. kazi yao ni mapepo,sadaka huwez skia wakiongelea hot topic kama hiz in church. Mm nasubir hata Christian Cleric mmoja atoe ufafanuzi juu ya hii kitu.
kama Jesus was blac wakabadili ili aonekane he is white inamana wazungu walitaka kuonekana superior than blacks.
Samahani kama kuna ambae nitamkwaza. I submit my views
 
Hii mada ni nzito. Inahitaji umakini wa hali ya juu.
kama Jesus was blac wakabadili ili aonekane he is white inamana wazungu walitaka kuonekana superior than blacks.
Samahani kama kuna ambae nitamkwaza. I submit my views

Mkuu humkwazi yeyote mwenye kutaka mambo ya uwazi. Video hii hapa:

 
Hii mada ni nzito. Inahitaji umakini wa hali ya juu.
kama Jesus was blac wakabadili ili aonekane he is white inamana wazungu walitaka kuonekana superior than blacks.
Samahani kama kuna ambae nitamkwaza. I submit my views

Mkuu humkwazi yeyote mwenye kutaka mambo ya uwazi. Video hii hapa:

 
Ata adamu alikuwa mtu mweusi fuvu lake lilipatikana oldvai george tena mtanzania teh teh teh
 

Kama ni kweli alikuwa ni mtu mweusi ina maana alikuwa ana asili ya kwetu Afrika, sasa iweje hatukumjua mpaka Mtu mweupe alivyokuja kututambulisha kwetu? Kama angekuwa kweli ni wetu si tungemjua tu tangia mwanzo tena kabla ya Mzungu?
Inawezekana ndiye aliyeitwa Mwanamalundi mtenda miujiza kwa wasukuma.
 
Kama umepaniki hivi!
 
Haya mavitabu yote ni mariwaya tu , tena yamekosewakosewa tu, yanajipinga yenyewe. Aya hii inakubali hiki aya nyingine inakipinga kile kile. !
 
Mungu hayupo?????? hizi imani zinngine bhana!!!! kwamba Yesu ni wa 16 wa kwanza alikuwa horus!!!?? duuuuu!
Huwezi kuamini kwa kuwa umefungwa NIRA ya kuamini maandiko hayo tangu utotoni, inakuwia vigumu kabisa kukubali habari mpya moyoni mwako.
 
Kama ni kweli usemalo kuwa Casera Borgia ni mtoto wa Pope Alexander VI aliyetumika kama Jesus. My question is Who is Brian Deacon?
huyu ni jamaa mmoja fundi garage ambaye hadi Leo watu wamemning'iniza majumbani kwao na shingoni wanasema ndio yesu.
 
Einsten Newton
wewe utakuwa ndg, yangu. Sema hatujuwani tu.

Kwa Uzi huu nimekuelewa sana. Na niseme tu nimefuatilia kuanzia ukulasa wa 1(kwanza) -27 na nimeona jinsi watu walivyo wagumu kuelewa au kuufuta uongo katika bongo zao na ku-save upya ukweli.
Pole sana kwa changamoto hiyo.

Awali niliwahi leta Uzi usemao, "Why Black People and White People" wengi walitilia maanani na wachache walibeza .(Sio Tija)

Tija ni Watu kuamka sasa na kujua nafasi yao na nivipi waitumie. Mwanzo tulikuwa na Dini hapa Afrika hatukuzitilia maanani wakaja watu kuichukua na kuibadili kwa masirahi yao kisha kutuletea kama kitu kipya na kwacho wakafanikiwa kututawala na kutuibia baadhi ya lasirimali zetu.
AFRIKA KUULISHA ULIMWENGU
sasa WANARUDI KWA NJIA YA UTANDAWAZI NA TEKNOLOJIA kutukomesha kabisaaa.

shida ni watu hatusomi na hatuulizi kwanini hiki na kile.
Hata vitabu vyetu vya imani vinatueleza wazi japo sio sana (kuna vingine imefeli) Ila bado hatuamki.

Wachungaji na Mashehe wametuibia sadaka kwa muda murefu sasa
staili ileile ya toa Mungu atakubariki ulipo toa. Yaani tungekuwa na dhahabu tungetoa dhahabu na tungekuwa na Almasi halikadhalika. Vyote walichukua sasa tunauza mahindi na nafaka zingine ili kukatoe Fedha.
(Kuna wakti nacheka nikitafakari kwa kina)
Hivi kuna watu hawajui kuwa Makao makuu ya Ukristo yapo wapi na makao makuu ya Uislama yapo wapi. Na migawanyo ya Sadaka zao huishia wapi?

Aibu juu yako......
maandiko yenyewe ya imani yamekataza viongozi wa waumini kuchukua sadaka..nitafute nikupe ushahidi....

Aisee ninamengi kwa kichwa nikisema niandike vidole vitachoka kuandika...
na

Asante sana #Einstein Newton
 
Mnepha Nimependa ulichonacho kwa kichwa.
endelea kutupia hapa tafadhali..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…