WAS; imekaa nafasi gani?

WAS; imekaa nafasi gani?

ragin

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2015
Posts
7,391
Reaction score
9,388
habari ya hapa.
kumekuwa na miibuko ya maneno ya ajabu sana... mtu anakwambia 1) huyu was kwanza kuzaliwa.
2) MUNGU was mbinguni akulinde.
3)mchezo was kwanza umeisha..... n.k
je! hili neno was lipo kwenye nafasi gani? au tu ulimbukeni!!!! wa lugha?
 
Back
Top Bottom