Warrant of arrest

Kuku wa Kabanga

JF-Expert Member
Oct 28, 2009
808
500
Habari wadau,naomba mnijuze hili suala,askari polisi anapokuja kukukamata kwa kosa lolote kwa sheria zetu hapa Tanzania ni lazima awe na hii "warrant of arrest",na hii hati inatolewa na mamlaka gani.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Top Bottom