Susuviri
JF-Expert Member
- Oct 6, 2007
- 3,713
- 888
Hapana,
Wale mnaosema kuwa ni Waaafrika tu mnakosea. Wale viongozi wa Kiserb walioshiriki katika mauaji pia wamefikishwa huko.
Naomba niongezee kwa mkuu Jasusi kua war criminals wa kwanza walikuwa ni wajerumani - Nazis wale maafisa na mawaziri wa Adolph Hitler... tuache kulia na racism kila wakati! Kama mtu ni mwuaji basi let us call a spade a spade! Bashir is a criminal, full stop! Wacha apelekwe mahakamani na apate fair trial, which is more than what millions of victims were given!