Warning! Unresponsive script

Old Skuli

JF-Expert Member
Aug 21, 2012
690
177
Kila nikifungua tab ya jamiiforums lzm nikutane na warning message kama hii kwenye picha.
Hata niki-cancel nikaendelea kutumia,after sometime ita-stuck kwa muda afu hyo msg ina-pop up tena.
Tatizo ni nini hasa wakuu?
Je kuna mwingine anapata tatizo kama hili?
jf.jpg
 
hiyo ni kama Browser inacorrupt. cha kufanya Uninstall hiyo browser na Install upya. hilo tatizo nilikuwa nalipata sana kwenye Mozila 20.0 lakini kwa sasa sijaliona kabisa tangu natumia Mozila above 20 hadi 24. make sure Browser yako ipo Updated.
 
Mi nnayo the latest mozilla firefox ya 25,na hyo warning msg inakuja nnapofungua jf tu.
Labda nijaribu ku-reinstall mayb naweza solve tatizo!!Asante mkuu ymollel
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom